iqna

IQNA

chanjo
TEHRAN (IQNA)- Msikiti wa Jamia mjini Glasgow, Scotland sasa ni kituo cha kuwadunga watu dozi ya tatu ya chanjo ya COVID-19.
Habari ID: 3474736    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/28

TEHRAN (IQNA)- Mwanazuoni mwandamizi wa Kiislamu nchini Iran Ayatullah Nasser Makarem Shirazi amesema Uislamu unalipa uzito mkubwa suala la afya ya mwanadamu.
Habari ID: 3474728    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/27

TEHRAN (IQNA)- Jumuiya ya Waislamu katika eneo la Manawatu New Zealand imeidhinisha msikiti wa eneo hilo kutumika kama eneo la kutoa chanjo ya COVID-19 kwa watu wote.
Habari ID: 3474524    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/06

TEHRAN (IQNA)- Misikiti 225 kote katika mji mkuu wa Jamuri ya Kiislamu ya Iran, Tehran, imejunga na kampeni maalumu ya kuwapa chanjo waumini katik kipindi cha siku 20.
Habari ID: 3474436    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/18

TEHRAN (IQNA) - Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limekosoa hatua za utawala wa Israel kuzuia chanjo ya COVID-19 kufika Palestina.
Habari ID: 3473796    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/09

TEHRAN (IQNA)- Kituo cha Kiislamu ya Al Azhar kwa mara nyingine imesisitiza kuhusu Fatwa yake ya awali kuwa kudungwa chanjo ya COVID-19 au corona hakubatilishi Saumu ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3473791    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/07

TEHRAN (IQNA) -Jumuiya ya Kiislamu Bangladesh imesema Waislamu wanaweza kudungwa chanjo ya COVID-19 au corona katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani hakubatilishi Saumu.
Habari ID: 3473740    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/16

TEHRAN (IQNA) – Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar kimetangaza kuwa kudungwa chanjo ya Corona au COVID-19 haitabatilisha Saumu ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3473713    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/07

TEHRAN (IQNA)- Wakuu wa afya nchini Saudi Arabia wametangaza kuwa kila Mwislamu ambaye anapanga kutekeleza Ibada ya Hija ni sharti athibitishwe kuwa amepata chanjo dhidi ya COVID-19 au corona.
Habari ID: 3473695    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/02

TEHRAN (IQNA) Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imelaani kitendo cha utawala haramu wa Israel kuzuia dozi 2,000 za chanjo ya Corona kuwafikia wafanyakazi wa sekta ya afya katika Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 3473654    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/16

TEHRAN (IQNA) – Vladimir Gushchin mtafiti katika Kituo cha Utafiti wa Gamaleya nchini Russia ambayo imetengenza chanjo ya Corona ya Sputnik V amesema chanjo hiyo ni halali kwa mujibu wa mafundisho ya Kiislamu.
Habari ID: 3473643    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/12

TEHRAN (IQNA) - Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo amezindua mpango wa kitaifa wa chanjo ya corona ambapo amempongeza Waziri wa Afya Daktari Saeed Namaki kwa kumdunga mwanae wa kiume chanjo ya kwanza kabisa.
Habari ID: 3473635    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/09

TEHRAN (IQNA) – China imesema itatoa chanjo ya bure ya COVID-19 kwa wakimbizi Warohingya ambao walioko Bangladesh.
Habari ID: 3473574    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/20

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametangaza bayana kuwa, kuingizwa Iran chanjo ya corona au COVID-19 kutoka Marekani na Uingereza ni marufuku.
Habari ID: 3473535    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/08

TEHRAN (IQNA)- Chanjo ya corona au COVID-19 iliyotegenezwa na watafiti Wairani imeanza kufanyiwa majaribio kwa wanadamu siku ya Jumanne 29 Disemba ambapo watu waliojitolea wamedungwa chanjo hiyo.
Habari ID: 3473509    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/31

TEHRAN (IQNA) – Chanjo ya COVID-19 au corona inayosuburiwa kwa hamu, haina haja ya kupata cheti cha ‘Halal’ kabla ya kutumika nchini Malaysia, amesema mkurugenzi mkuu wa Wizara ya Afya nchini humo Daktari Noor Hisham Abdullah.
Habari ID: 3473439    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/09

TEHRAN (IQNA) – Sheikh Ahmed el-Tayeb, mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha al Azhar ametoa wtio wa kusambazwa chanjo ya corona au COVID-19 kwa usawa.
Habari ID: 3473367    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/17