iqna

IQNA

Maadili katika Qur'ani / 6
Uhaini ni miongoni mwa sifa zisizofaa ambazo Qur’ani Tukufu inazizungumzia, Kitabu kitukufu pia kinazungumzia aina mbalimbali za khiana.
Habari ID: 3477161    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/19

TEHRAN (IQNA)- Mjumbe wa Mfalme wa Bahrain na wenzake aliofuatana nao wameingia msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem), unaokaliwa kwa mabavu na Israel, kwa kujificha wakihofu wasije wakatambuliwa na Wapalestina.
Habari ID: 3473409    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/30