TEHRAN (IQNA)- Msimu wa sasa wa Hija ndogo ya Umrah kwa Waislamu kutoka nje ya Saudia utamalizika katika siku ya mwisho ya Mwezi wa Shawwal ambayo inatarajiwa kusadifina na Mei 31.
Habari ID: 3475177 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/27
TEHRAN (IQNA)- Mamlaka ya Saudia ilitangaza Jumamosi kwamba nchi hiyo itawaruhusu Waislamu milioni moja kushiriki katika ibada inayokuja ya Hija.
Habari ID: 3475104 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/09
TEHRAN (IQNA)- Idhini ya kutekeleza Hija ndogo ya Umrah kwa wale wanaotoka nje ya Saudia itajumuisha tu wale wenye umri wa kuanzia miaka 18 hadi 50.
Habari ID: 3474578 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/19
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesisitiza kuwa hatua ya utawala wa Aal Saud ya kuzuia kufanyika ibada tukufu ya Hija kwa mwaka wa pili mfululizo kwa kisingizio cha corona ni kuivunjia heshima Nyumba Tukufu ya Allah.
Habari ID: 3474176 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/10
TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Urais Mkuu wa Maswala ya Misikiti Miwili Mitakatifu amewaamuru wahusika wenye uwezo kukamilisha maandalizi ya kuwapokea waumini wanaotaka kutekeleza Ibada ya Umrah.
Habari ID: 3474126 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/25
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika ujumbe wa Hija
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema, muqawama ndio njia ya kufidia kubaki nyuma kimaendeleo nchi za Kiislamu na akasisitiza kuwa, eneo lote la Kiislamu ni uwanja wa kusimama kifua mbele muqawama kukabiliana na ukhabithi wa Marekani na washirika wake.
Habari ID: 3474113 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/19
TEHRAN (IQNA)- Ibada tukufu ya Hija ilianza rasmi jana chini ya usimamizi na sheria kali za kukabiliana na maambukizo ya virusi vya Corona huku idadi ya Mahujaji ikiwa chache mno kutokana na vizingiti vilivyowekwa na utawala wa Saudia.
Habari ID: 3474111 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/18
TEHRAN (IQNA)- Idara ya Usimamizi wa Misikiti Miwili Mitakatifu ya Makka na Madina imeazimia kutumia maroboti katika Msikiti Mtakatifu wa Makka katika ibada ya Hija mwa huu.
Habari ID: 3474103 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/15
TEHRAN (IQNA) – Waislamu wa Kenya wamebainisha malalamiko yao baada ya kubainika kuwa hawataweza kutekeleza Ibada ya Hija mwaka huu baada ya Saudi Arabia kutangaza kupiga marufuku Mahujaji kutoka nje ya ufalme huo.
Habari ID: 3474030 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/22
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Hija ya Yemen imelaani vikali hatua ya Saudia kuwazuia Waislamu kutoka nje ya ufalme huo kutekeleza ibada ya Hija.
Habari ID: 3474002 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/13
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Hija na Umra ya Saudi Arabia imetangaza kuwa, ibada ya Hija mwaka huu itafanyika kwa kushirikisha raia na wageni wanaoishi nchini humo wasiozidi elfu 60.
Habari ID: 3474001 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/13
TEHRAN (IQNA) – Afisa mwandamizi wa Hilali Nyekundi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema yamkini Iran ikatuma mahujaji wasiozidi 2,000 kutekeleza ibada ya Hija mwaka huu nchini Saudi Arabia.
Habari ID: 3473970 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/01
TEHRAN (IQNA)- Saudi Arabia inatafakari kuwazuia Mahujaji kutoka nje ya ufalme huo kwa mwaka wa pili mfululizo kufuatia ongezeko la aina mpya ya virusi vya corona.
Habari ID: 3473881 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/06
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Hija na Umrah nchini Saudi Arabia amefutwa kazi leo ijumaa miezi kadhaa kabla ya ibada ya hija kufanyika.
Habari ID: 3473729 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/12
TEHRAN (IQNA)- Wakuu wa afya nchini Saudi Arabia wametangaza kuwa kila Mwislamu ambaye anapanga kutekeleza Ibada ya Hija ni sharti athibitishwe kuwa amepata chanjo dhidi ya COVID-19 au corona.
Habari ID: 3473695 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/02
TEHRAN (IQNA) – Benki moja ya Kiislamu nchini Nigeria imezindua mpango wa kuwahimiza Waislamu kuweka akiba ya fedha za kutumika kwa ajili ya kutekeleza Ibada ya Hija ambayo ni katika nguzo za Uislamu.
Habari ID: 3473677 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/23
TEHRAN (IQNA) –Kwa mujibu wa mafundisho ya Kiislamu, ibada ya Hija ni wajibu kwa kila Mwislamu mwenye uwezo wa kifedha na kiafya.
Habari ID: 3473031 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/04
TEHRAN (IQNA) – Mwaka huu janga la corona au COVIDI-19 limepelekea ibada Hija iwe tafauti na pia sherehe za Idul Adha kote duniani zimetafuatiana na miaka iliyopita. Hatua za kupunguza idadi ya mahujaji na kuweka vizingiti katika sherehe za Idi zimechukuliwa ili kuzuia kuenea ugonjwa wa corona.
Habari ID: 3473027 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/03
TEHRAN (IQNA) – Kupunguzwa kwa kiasi kikubwa idadi ya Waislamu waliotekeleza ibada ya Hija mwaka huu kumeathiria vibaya sana uchumi wa Somalia ambapo hutegemea uuzaji wa mamilioni ya mifugo nchini Saudia wakati wa Hija.
Habari ID: 3473022 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/01
TEHRAN (IQNA) – Waislamu wameanza kutekeleza ibada katika mji mtakatifu wa Makka.
Habari ID: 3473014 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/30