IQNA – Saudi Arabia imetangaza msururu wa vikwazo na vizuizi vya kuingia mji mtakatifu wa Makka kabla ya msimu wa Hija
Habari ID: 3480533 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/13
Hija na Umrah
IQNA Vifaa mahiri vinatarajiwa kutumika kuboresha viwango vya huduma katika Msikiti Mkuu wa Makka (Masjid Al Haram) na Msikiti wa Mtume wa Medina (Al Masjid An Nabawi), afisa mmoja amesema.
Habari ID: 3480081 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/20
Hija
IQNA - Jeddah nchini Saudi Arabia itakuwa mwenyeji wa toleo la nne la Mkutano na Maonyesho ya Hija mapema mwaka ujao wa Miladia.
Habari ID: 3479908 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/16
Hija na Umrah
IQNA – Mamlaka ya Jumla ya Saudi Arabia kwa Utunzaji wa Masuala ya Msikiti Mkuu na Msikiti wa Mtume imetoa seti ya miongozo tisa kwa mahujaji wa kike, lengo likiwa ni kuhakikisha mazingira yenye mpangilio na heshima kwenye maeneo hayo matakatifu.
Habari ID: 3479869 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/07
Ustawi wa Hija
IQNA - Saudi Arabia imezindua mipango ya kuunda mfumo wa magari yanayotumia nyaya angani (cable cars) ili kuboresha ufikiaji wa Pango la Hira katika Jabal Al Noor, Makka, na mradi huo unatarajiwa kukamilika ifikapo 2025.
Habari ID: 3479299 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/19
Karbala ya Mwaka 1445
Kifuniko, kinachojulikana kama Kiswa, cha Kaaba Tukufu kinatarajiwa kubadilishwa katika siku ya kwanza ya mwezi wa maombolezo ya Muharram, mamlaka ya Saudi ilisema.
Habari ID: 3479079 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/06
Hija ya Mwaka 1445
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani wa Thailand Chada Thaiset aliwataja mahujaji wa nchi hiyo kuwa ni mabalozi wa amani na urafiki.
Habari ID: 3479064 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/04
Hija ya mwaka huu
Mabadiliko ya hali ya hewa yalizidisha hali ya joto nchini Saudi Arabia inayolaumiwa kwa vifo vya watu 1,300 katika ibada ya Hija mwezi huu.
Habari ID: 3479046 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/01
Hija ya 1445
Hatua mpya zimeanzishwa katika Msikiti wa Mtume (SAW) huko Madina ili kuboresha huduma inayotolewa kwa wageni wazee na watu wenye ulemavu.
Habari ID: 3479044 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/01
Umuhimu wa Hija
Kuna mikakati ambayo inaweza kuwasaidia mahujaji kulinda matunda ya safari ya kiroho ya Hija.
Habari ID: 3479039 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/30
Hija ya 1445
Baada ya kumalizika kwa msimu wa Hijja, ambapo idadi kubwa ya mahujaji walikufa kutokana na joto kali, Saudi Arabia inasema hivi sasa inajiandaa kuwakaribisha mahujaji wa Umra.
Habari ID: 3479035 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/30
Ghadir katika Hadithi
Mwanazuoni mmoja mkuu wa Lebanon alisema Tukio la Ghadir limeangaziwa katika vyanzo vya Hadith katika Tawatur iliyoripotiwa kwa wingi na wasimuliaji tofauti na kupitia misururu mbalimbali ya upokezi.
Habari ID: 3479033 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/30
Hija 1445
IQNA-Saudi Arabia imetangaza kwamba zaidi ya mahujaji 1,300 walifariki dunia wakati wa amali za ibada ya Hija zilizoambatana na wimbi la joto kali mwaka huu.
Habari ID: 3479005 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/24
Hija ya Mwaka 1445
IQNA-Upangaji wa Hija ya mwaka ujao utaanza mara tu baada ya mafanikio ya hija mwaka huu kumalizika, afisa mmoja wa Saudia amesema.
Habari ID: 3478991 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/20
Matukio ya Hija 2024
Baadhi ya mahujaji milioni 2 hutekeleza ibada zao za mwisho za Hijja katikati ya mwezi Juni 2024, huko Makka, nchini Saudi Arabia.
Moja ya ibada hizi ni Rami Al-Jamarat ambayo inaadhimishwa siku ya Eid al-Adha’ha na wakati wa Siku za Tashriq.
Habari ID: 3478986 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/19
Nabii Ismail (as) ; Mtoto wa Nabii Ibrahim ( as)
Mtaalamu wa kitaaluma na kidini wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anasema kiini cha ibada ya Hija ni kuacha matamanio ya kibinafsi na kujisalimisha kwa Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3478981 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/19
Siku za Tashriq ni siku ya 11, 12 na 13 ya mwezi wa Hijri wa Dhul Hija ambapo ibada kuu za Hija kama dhabihu ya wanyama na Rami Al-Jamaratu hufanyika.
Habari ID: 3478974 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/18
IQNA- siku ya Arafa yaani mwezi Tisa Mfunguo Tatu Dhul hija ni fursa kwa ajili ya dua na kuomba maghufira kwa Waislamu wote wawe katika Hija au wale ambao hawakupata taufiki ya Hija..
Habari ID: 3478967 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/14
Hija
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema amali za ibada tukufu ya Hija zinawatia hofu na wasiwasi mkubwa maadui.
Habari ID: 3478966 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/14
IQNA – Qari wa Iran Mehdi Adeli hivi karibuni amesoma aya ya 144 ya Surah Al-Baqarah msikitini mjini Madina.
Adeli ni mjumbe wa msafara wa Qur'ani wa Iran ambao unaandaa programu mbalimbali za Qur'ani kwa mahujaji katika msimu wa Hija mwaka huu wa 1445 Hijria Qamaria. Msafara huo ni maarufu kama Msafara wa Nur wa Qur'ani Tukufu
Habari ID: 3478963 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/11