iqna

IQNA

Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA)-Kundi la kwanza la Waislamu wa Iran wanaokwenda kutekeleza ibada tukufu ya Hija limeondoka Tehran leo asubuhi kwenda katika mji mtukufu wa Madina nchini Saudi Arabia.
Habari ID: 3475368    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/12

Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA) – Mahujaji kutoka nchi Magharibi wanaokusudia kushiriki katika Ibada ya Hija mwaka huu lazima sasa watume maombi kupitia tovuti ya serikali, Saudi Arabia ilisema.
Habari ID: 3475359    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/10

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amepongeza hatua ya kuanza tena ibada ya Hija baada ya amali hiyo kuvurugwa kwa miaka miwili na janga la Corona. Amesema, "hii ni baraka kubwa kwani ibada hii ni nembo ya umoja miongoni mwa Waislamu."
Habari ID: 3475348    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/08

Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Shirika la Hija na Ziyara za Kidini la Iran amesema maafisa wa Saudi bado hawajajibu malalamiko ya nchi kadhaa juu ya kuongezeka kwa gharama za Hija mwaka huu wa 1443 Hijria Qamaria sawa na 2022 Miladia.
Habari ID: 3475344    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/07

Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA) – Kundi la Mahujaji kutoka Indonesia walifika Madina siku ya Jumamosi wakiwa kundi la kwanza kuwasili katika Ufalme wa Saudia kutekeleza ibada za Hija baada ya kusitishwa kwa Waislamu walio nje ya Saudia kwa muda wa miaka miwili kutokana na corona
Habari ID: 3475338    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/05

Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA)- Operesheni ya kuosha na kusafisha Ka’aba Tukufu huko Makka imekamilika ili kuandaa mahali patakatifu kwa ajili ya Hija ijayo.
Habari ID: 3475335    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/04

TEHRAN (IQNA)- Mgogoro mbaya zaidi wa kiuchumi unaoikabili Sri Lanka iliyokumbwa na madeni umewalazimu Waislamu kutotekeleza ibada ya Hija mwaka huu.
Habari ID: 3475326    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/02

Hija
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema inafanya mazungumzo na Saudi Arabia kuhusu kuruhusiwa kutekeleza ibada ya Hija Wairani waliopata chanjo iliyotegenezwa ndani ya Iran.
Habari ID: 3475265    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/19

Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA)- TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, ameziasa taasisi za Hija nchini humo, zinazosafirisha Mahujaji , kuacha tabia ya kuwalaghai Mahujaji.
Habari ID: 3475261    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/17

TEHRAN (IQNA)- Ndege ya kwanza itakayokuwa imewabeba watu wa Iran wanaokusudia kutekeleza ibada ya Hija mwaka huu itaondoka Tehran kuelekea Saudia mnamo Juni 13.
Habari ID: 3475214    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/06

TEHRAN (IQNA)- Msimu wa sasa wa Hija ndogo ya Umrah kwa Waislamu kutoka nje ya Saudia utamalizika katika siku ya mwisho ya Mwezi wa Shawwal ambayo inatarajiwa kusadifina na Mei 31.
Habari ID: 3475177    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/27

TEHRAN (IQNA)- Mamlaka ya Saudia ilitangaza Jumamosi kwamba nchi hiyo itawaruhusu Waislamu milioni moja kushiriki katika ibada inayokuja ya Hija.
Habari ID: 3475104    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/09

TEHRAN (IQNA)- Idhini ya kutekeleza Hija ndogo ya Umrah kwa wale wanaotoka nje ya Saudia itajumuisha tu wale wenye umri wa kuanzia miaka 18 hadi 50.
Habari ID: 3474578    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/19

TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesisitiza kuwa hatua ya utawala wa Aal Saud ya kuzuia kufanyika ibada tukufu ya Hija kwa mwaka wa pili mfululizo kwa kisingizio cha corona ni kuivunjia heshima Nyumba Tukufu ya Allah.
Habari ID: 3474176    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/10

TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Urais Mkuu wa Maswala ya Misikiti Miwili Mitakatifu amewaamuru wahusika wenye uwezo kukamilisha maandalizi ya kuwapokea waumini wanaotaka kutekeleza Ibada ya Umrah.
Habari ID: 3474126    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/25

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika ujumbe wa Hija
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema, muqawama ndio njia ya kufidia kubaki nyuma kimaendeleo nchi za Kiislamu na akasisitiza kuwa, eneo lote la Kiislamu ni uwanja wa kusimama kifua mbele muqawama kukabiliana na ukhabithi wa Marekani na washirika wake.
Habari ID: 3474113    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/19

TEHRAN (IQNA)- Ibada tukufu ya Hija ilianza rasmi jana chini ya usimamizi na sheria kali za kukabiliana na maambukizo ya virusi vya Corona huku idadi ya Mahujaji ikiwa chache mno kutokana na vizingiti vilivyowekwa na utawala wa Saudia.
Habari ID: 3474111    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/18

TEHRAN (IQNA)- Idara ya Usimamizi wa Misikiti Miwili Mitakatifu ya Makka na Madina imeazimia kutumia maroboti katika Msikiti Mtakatifu wa Makka katika ibada ya Hija mwa huu.
Habari ID: 3474103    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/15

TEHRAN (IQNA) – Waislamu wa Kenya wamebainisha malalamiko yao baada ya kubainika kuwa hawataweza kutekeleza Ibada ya Hija mwaka huu baada ya Saudi Arabia kutangaza kupiga marufuku Mahujaji kutoka nje ya ufalme huo.
Habari ID: 3474030    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/22

TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Hija ya Yemen imelaani vikali hatua ya Saudia kuwazuia Waislamu kutoka nje ya ufalme huo kutekeleza ibada ya Hija.
Habari ID: 3474002    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/13