IQNA - Mtaalamu wa afya ametoa mapendekezo ya kuzuia homa au mafua ya kawaida wakati wa msimu Hija.
Habari ID: 3478936 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/05
Hija 1435
IQNA-Waziri wa Ulinzi Kenya Aden Duale Jumatatu aliaga kundi la kwanza la Wakenya 300 waliokuwa wanaelekea nchini Saudi Arabia kwa ajili ya ibada ya Hija.
Habari ID: 3478931 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/04
Hija
IQNA - Takriban Waislamu milioni moja wamewasili Saudi Arabia kutoka maeneo mbali mbali dunaini kwa ajili ya kutekeleza ibada ya Hija.
Habari ID: 3478930 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/04
Turathi za Kiislamu
IQNA – Msikiti wa Shajarah, unaojulikana pia kama Msikiti wa Dhul Hulaifah na Al-Ihram, ni miongoni mwa misikiti ya kihistoria katika mji mtakatifu wa Madina.
Habari ID: 3478921 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/02
Hija 1445
IQNA - Wajumbe wa msafara wa Qur'ani wa Iran walioko Makka wamesem Qur'ani Tukufu nje ya Msikiti Mtakatifu wa Makka.
Kila mwaka mamilioni ya Waislamu kutoka duniani kote hukusanyika Makka kwa ajili ya Hija ya kila mwaka.
Habari ID: 3478918 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/02
Hija 1435
IQNA - Duru ya tano ya kikao cha qiraa ya Qur'ani Tukufu iliyohudhuriwa na wajumbe wa Msafara wa Nur wa Qur'ani kutokaIran, imefanyika katika mji mtakatifu wa Madina.
Habari ID: 3478906 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/31
Hija 1445
IQNA - Zaidi ya nusu ya Wairani wanaotarajiwa kuhiji mwaka huu wamewasili Saudi Arabia, afisa mmoja alisema.
Habari ID: 3478905 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/31
Hija 1435
IQNA - Balozi wa Iran nchini Saudi Arabia Ali Reza Enayati amefanya mazungumzo na Abdulaziz bin Saud bin Naif, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Saudi Arabia na mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Hajj.
Habari ID: 3478896 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/28
Hija 1445
IQNA - Msikiti wa Mtume SAW uliopo Madina -al-Masjid al-Nabawi- unatembelewa na waumini kutoka nchi mbalimbali wanaowasili Saudi Arabia kwa ajili ya ibada ya Hija ya kila mwaka.
Habari ID: 3478893 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/28
IQNA - "Hija yetu mwaka huu ni Hijja ya bara'at (kujibari na kujiweka mbali na mushirikina) kwa sababu ya kile kinachotokea Gaza na Palestina." Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei. Mei 6, 2024.
Habari ID: 3478892 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/27
Hija
IQNA - Kundi la kwanza la Wairani walioelekea Hija kutoka Iran waliwasili katika mji mtakatifu wa Madina Jumatatu Mei 13.
Habari ID: 3478816 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/13
Hija
IQNA - Mpango umezinduliwa nchini Saudi Arabia ili kuimarisha na kuboresha ujuzi wa wafanyakazi wanaohudumia waumini wanaoshiriki ibada za Hija na Umrah.
Habari ID: 3478815 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/13
Hija
IQNA- Matumizi ya teksi zinazoruka na ndege zisizo na rubani kwa ajili ya kuwasafirisha Mahujaji yatafanyiwa majaribio katika msimu wa Hija wa mwaka huu.
Habari ID: 3478804 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/12
Hija na Qur'ani
IQNA – Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu hivu karibuni amekutana na wajumbe wa msafara wa Qur’ani wa Hija wa Iran, akawausia kuwahimiza Mahujaji kutafakari aya za Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3478799 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/10
Amir Hossein Anwari, qari wa Qur'ani katika Msafara wa Nur wa Hija ya 1445, alisoma aya za 197 hadi 199 za Surah Al-Baqarah na Surah Nasr wakati wa mkutano wa maafisa wasimamizi wa Hija nchini Iran na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Khamenei mnamo Mei 6 jijini Tehran .
Habari ID: 3478798 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/09
Hija
IQNA - Wizara ya Mambo ya Ndani ya Saudi Arabia imetangaza kanuni kali zaidi za Hija mwaka huu, inayolenga wale wanaoshiriki ibada ya Hija bila kibali na pia wale wanaowasaidia kukiuka sheria
Habari ID: 3478797 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/09
Hija
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema, kwa kuzingatia Aya za Qur'ani Tukufu na kumbukumbu ya jina lililobarikiwa la Nabii Ibrahim (AS), ibada ya Hija ya mwaka huu inapaswa kuwa zaidi ya Hija ya kila mwaka, na inabidi iwe Hija na kutangazwa kujitenga au kujibari na adui wa Waislamu, Mzayuni mtenda uhalifu na wafuasi wake wa nchi za Marekani, Uingereza na Wamagharibi kwa ujumla.
Habari ID: 3478791 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/08
Hija
IQNA – Daktari wa magonjwa ya akili anaashiria matatizo matatu ya kiakili yanayoweza kuvuruga safari ya kiroho ya Hija, akiwataka mahujaji kuyahutubia kabla ya safari.
Habari ID: 3478784 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/07
Hija
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema, kwa kuzingatia Aya za Qur'ani Tukufu na kumbukumbu ya jina lililobarikiwa la Nabii Ibrahim (AS), ibada ya Hija ya mwaka huu inapaswa kuwa zaidi ya Hija ya kila mwaka, na inabidi iwe Hija na kutangaza kujitenga au kujibari na adui wa Waislamu, Mzayuni mtenda uhalifu na wafuasi wake.
Habari ID: 3478779 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/06
Hija 1445
IQNA - Huku zaidi ya Waislamu ilioni 2 wakitarajiwa kuwasili baadaye mwezi huu kwa ajili ya ibada ya Hija katika mji mtakatifu wa Makka, wakuu wa Saudi Arabia wameimarisha maandalizi ya ibada hiyo ya kila mwaka.
Habari ID: 3478777 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/05