iqna

IQNA

Waislamu Uingereza
LONDON (IQNA) - 'Siku ya Ustawi wa Jamii' itafanyika katika Msikiti wa Madina huko Blackburn nchini Uingereza, ikilenga kuongeza uelewa wa hali mbalimbali za kiafya na saratani, huku pia ikichangisha fedha kwa ajili ya waathirika wa tetemeko la ardhi nchini Morocco.
Habari ID: 3477603    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/15

Uchambuzi
TEHRAN (IQNA)- Miaka 22 imepita tangu baada ya mashambulizi ya kigaidi ya Septemba 11, 2001 katika miji ya New York na Washington, tukio ambalo liliathiri sio Marekani pekee, bali karibu dunia nzima.
Habari ID: 3477585    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/11

Waislamu Uingereza
LONDON (IQNA) - Kampeni iliyopewa jina la "Tembelea Msikiti Wangu" ilizinduliwa Jumatatu kwa mwaka wake wa nane nchini Uingereza.
Habari ID: 3477551    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/05

Waislamu Marekani
WASHINGTON, DC (IQNA) - Kongamano kuu la Waislamu huko Chicago, Marekani limekamilika Jumatatu baada ya siku tatu za shughuli.
Habari ID: 3477545    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/04

Chuki dhidi ya Uislamu
GENEVA (IQNA) - Msemaji wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kamishna Mkuu wa Haki za Kibinadamu (OHCHR) amelaani uamuzi wa Ufaransa wa kuwapiga marufuku wanafunzi Waislamu kuvaa abaya.
Habari ID: 3477526    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/31

Waislamu Marekani
WASHINGTON, DC (IQNA) - Adhana, mwito wa Kiislamu wa Sala, unaweza kutangazwa kwa vipaza Saudi katika Jiji la New York kwa nyakati maalumu kila Ijumaa na wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3477525    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/31

Hali ya Waislamu India
UTTAR PRADESH (IQNA) - India mnamo Jumatatu ilifunga shule katika jimbo la kaskazini mwa India la Uttar Pradesh baada ya mwalimu wake kuwataka wanafunzi kumpiga vibao mwanafunzi mwenzao Mwislamu.
Habari ID: 3477516    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/29

Chuki dhidi ya Waislamu
WASHINGTON, DC (IQNA) - Baraza la Mahusiano ya Marekani na Kiislamu (CAIR) limelaani uamuzi wa serikali ya Ufaransa wa kupiga marufuku wanafunzi Waislamu kuvaa Abaya.
Habari ID: 3477513    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/29

Waislamu Australia
CANBERRA (IQNA) – Sajili ya Vitendo vya Chuki Dhidi ya Uislamu Australia (IRA) imepongeza marufuku ya udhalilishaji kidini huko New South Wales.
Habari ID: 3477503    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/27

Chuki dhidi ya Waislamu
DUBLIN (IQNA) - Polisi huko Belfast wanachukulia uwekaji wa bendera kadhaa za Wnazi karibu na msikiti kuwa ni "uhalifu wa chuki unaochochewa na ubaguzi wa rangi".
Habari ID: 3477489    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/24

Waislamu Marekani
WASHINGTON, DC (IQNA) - Utafiti wa matatizo yanayowasibu Waislamu wa Marekani umezinduliwa na Baraza la Mahusiano ya Kiislamu na Marekani (CAIR).
Habari ID: 3477488    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/24

Waislamu India
NEW DelHI (IQNA) – Mwanamke Mwislamu alikabiliwa na ubaguzi katika shule moja huko Tamil Nadu, India, alipotakiwa kuvua hijabu yake wakati wa mtihani.
Habari ID: 3477480    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/22

Waislamu China
JEDDAH (IQNA) – Ujumbe wa wawakilishi 25 kutoka Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) uliwasili China Alhamisi kujadili uhusiano wa pande mbili na hadhi ya jamii ya Waislamu nchini humo, OIC ilisema katika taarifa yake.
Habari ID: 3477454    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/18

Diplomasia ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Viongozi wa Kiislamu kutoka Nigeria wamewasili nchi jirani Niger pamoja ikiwa ni sehemu ya juhudi za kidiplomasia za kurejesha amani katika nchi hiyo ya Magharibi mwa Afrika.
Habari ID: 3477431    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/13

Waislamu Marekani
WASHIGNTON, DC (IQNA) - Mwanamume mmoja ameshtakiwa kwa uhalifu wa chuki baada ya kushambulia kundi la Waislamu katika bustani moja huko California, Marekani siku ya Jumatatu.
Habari ID: 3477416    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/11

Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA)- Ongezeko la mashambulizi dhidi ya misikiti katika nchi za Magharibi hususan Ujerumani na barua za vitisho zinazotumwa kwa Waislamu vinazusha hofu na mfadhaiko katika jamii ya wafuasi wa dini hiyo.
Habari ID: 3477410    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/10

Waislamu India
NUH (IQNA) - Mahakama ya India imeuliza kama ubomoaji wa nyumba na biashara za wakazi hasa Waislamu katika jimbo la kaskazini la Haryana ni "zoezi la maangamizi ya kimbari".
Habari ID: 3477407    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/09

Hali ya Waislamu India
New Delhi (IQNA) - Misikiti mingi katika kitovu muhimu cha biashara nje kidogo ya mji mkuu wa India, New Delhi ilifungwa kwa sala ya Ijumaa baada ya kifo cha watu sita wakati Wahindu wenye itikadi kali waliposhambulia misikiti na mali za Waislamu.
Habari ID: 3477390    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/06

Chuki dhidi ya Uislamu
BERLIN (IQNA) - Msikiti mmoja nchini Ujerumani ulipokea barua ya vitisho kutoka kwa kundi la Wanazi mamboleo siku ya Ijumaa.
Habari ID: 3477384    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/05

Inna Lillah wa Inna Ilayhi Rajioun
BELGRADE (IQNA) – Sheikh Bayram Ayati, mtaalamu mashuhuri wa Qur’ani Tukufu katika nchi za Balkan amefariki dunia siku ya Jumatano.
Habari ID: 3477380    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/04