iqna

IQNA

IQNA - Vikosi vya utawala haramu wa Israel vimefunga nje ya uwanja wa Msikiti wa Ibrahimi huko al-Khalil, unaokaliwa kwa mabavu na Israel huko Palestina Ukingo wa Magharibi, hatua ambayo maafisa wa Palestina wanasema ni jaribio la kubadilisha sifa za eneo hilo.
Habari ID: 3479108    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/12

chuki dhidi ya Waislamu nchini Ujerumani
Umoja wa Uturuki na Kiislamu kwa Masuala ya Kidini (DİTİB) umeelezea wasiwasi wake mkubwa juu ya kuongezeka kwa visa vya chuki dhidi ya Waislamu nchini Ujerumani.
Habari ID: 3479089    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/08

Ujerumani Chuki Dhidi ya Uislamu
Kulingana na shirika lisilo la kiserikali nchini Ujerumani, chuki dhidi ya Uislamu imeongezeka kwa asilimia 140 mwaka huu katika nchi hiyo.
Habari ID: 3479019    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/27

Waislamu India
IQNA - Matokeo ya uchaguzi mkuu wa India yanaonyesha kuwa muungano wa Waziri Mkuu Narendra Modi umepata viti vichache sana kuliko ilivyotarajiwa.
Habari ID: 3478944    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/07

Utamaduni
IQNA - Kundi la maimamu wa Swala ya Ijumaa na wanaharakati vijana wa kitamaduni kutoka Georgia walifanya ziara katika kaburi la Imam Ridha (AS) katika mji wa kaskazini mashariki mwa Iran wa Mashhad na kufanya mazungumzo na mkuu wa masuala ya kimataifa wa idara ya usimamizi wa eneo hilo takatifu.
Habari ID: 3478908    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/31

Waislamu Ulaya
IQNA - Vijana wengi wa Kiislamu nchini Ujerumani wanaamini kuwa Qur'ani Tukufu ni muhimu zaidi kuliko sheria za nchi.
Habari ID: 3478781    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/06

Waislamu Ufaransa
IQNA - Msikiti Mkuu wa Paris ulimkosoa waziri mkuu wa Ufaransa kwa matamshi yake ya hivi karibuni ya chuki dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3478751    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/30

Waislamu Marekani
IQNA - Mapatano yamefikiwa katika kesi inayohusu jela ya Mkoa wa Warren iliyoko Bowling Green, Kentucky, nchini Marekani kuhusu mwanamke Muislamu kunyimwa haki yake ya kidini ya kuvaa Hijabu.
Habari ID: 3478701    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/19

Waislamu Korea Kusini
IQNA - Daud Kim, msanii maarufu wa pop wa Korea Kusini na YouTuber ambaye alikubali Uislamu mnamo 2019, ameanza mradi wa kujenga msikiti huko Incheon, Korea Kusini.
Habari ID: 3478683    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/14

Waislamu Ulaya
IQNA - Sala ya Idul Fitr iliswaliwa na zaidi ya waumini 100 wa Kiislamu katika Msikiti wa Yeni huko Thessaloniki, kaskazini mwa Ugiriki, siku ya Jumatano.
Habari ID: 3478674    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/12

Idul Fitr
IQNA - Ramadhani, mwezi wa ibada na kujitolea, unafikia kilele kwa Waislamu kujiandaa kupokea malipo yao kutoka kwa Mwenyezi Mungu baada ya mwezi wa saumu na ibada.
Habari ID: 3478663    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/10

Salamu za Idul Fitr
IQNA-Rais wa Iran, Ebrahim Raisi, amesema ni wajibu wa kibinadamu na kidini kwa nchi za Kiislamu kukomesha mauaji ya kimbari ya miezi kadhaa ya utawala wa Israel dhidi ya Wapalestina huko Gaza.
Habari ID: 3478661    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/10

IQNA - Wanafunzi wengi katika Chuo Kikuu cha Washington (UW) huko Seattle nchini Marekani wameandamana kupinga ubaguzi na chuki dhidi ya Waislamu.
Habari ID: 3478600    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/29

Waislamu Marekani
IQNA - Huko Houston, Marekani Waislamu wametangaza kususia hafla ya 25 ya kila mwaka ya Futari ambayo kulalmikia mwaliko kwa viongozi wa serikali.
Habari ID: 3478530    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/17

Ramadhani Marekani
IQNA – Mwezi mtukufu wa Ramadhani ulipoanza, mkusanyiko mzuri wa waumini wa Kiislamu ulibadilisha Times Square ya New York kuwa eneo la umoja na ibada.
Habari ID: 3478489    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/11

Waislamu Russia
IQNA – Hafidh wa Qur'ani kutoka Russia amesema Waislamu nchini humo hawana kikomo katika shughuli zao za Qur'ani.
Habari ID: 3478475    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/09

Uislamu Japan
IQNA-Mwanaakademia wa Kijapan, Kayyim Naoki Yamamoto amesema, hisia za chuki dhidi ya Uislamu (Islamopobia) nchini Japan zinaongezeka tangu utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ulipoanzisha vita vya kikatili na mashambulio ya kinyama dhidi ya Ukanda wa Ghaza Oktoba 7, 2023.
Habari ID: 3478466    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/07

Ramadhani
IQNA - Barabara kuu ya kati huko Frankfurt, Ujerumani, itapambwa kwa taaza zenye nembo za hilali nyota na mapambo mengine kuadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3478463    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/07

Waislamu Russia
IQNA - Kijana mmoja amehukumiwa kifungo cha miaka 3.5 jela nchini Russia kwa kujunjia heshima nakala Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3478430    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/29

Chuki dhidi ya Uislamu Ujerumani
IQNA - Mbunge mmoja nchini Ujerumani ametoa wito wa kujumuishwa kwa sheria za kupinga Uislamu katika katiba ya nchi
Habari ID: 3478416    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/26