Waislamu Marekani
IQNA - Huko Houston, Marekani Waislamu wametangaza kususia hafla ya 25 ya kila mwaka ya Futari ambayo kulalmikia mwaliko kwa viongozi wa serikali.
Habari ID: 3478530 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/17
Ramadhani Marekani
IQNA – Mwezi mtukufu wa Ramadhani ulipoanza, mkusanyiko mzuri wa waumini wa Kiislamu ulibadilisha Times Square ya New York kuwa eneo la umoja na ibada.
Habari ID: 3478489 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/11
Waislamu Russia
IQNA – Hafidh wa Qur'ani kutoka Russia amesema Waislamu nchini humo hawana kikomo katika shughuli zao za Qur'ani.
Habari ID: 3478475 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/09
Uislamu Japan
IQNA-Mwanaakademia wa Kijapan, Kayyim Naoki Yamamoto amesema, hisia za chuki dhidi ya Uislamu (Islamopobia) nchini Japan zinaongezeka tangu utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ulipoanzisha vita vya kikatili na mashambulio ya kinyama dhidi ya Ukanda wa Ghaza Oktoba 7, 2023.
Habari ID: 3478466 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/07
Ramadhani
IQNA - Barabara kuu ya kati huko Frankfurt, Ujerumani, itapambwa kwa taaza zenye nembo za hilali nyota na mapambo mengine kuadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3478463 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/07
Waislamu Russia
IQNA - Kijana mmoja amehukumiwa kifungo cha miaka 3.5 jela nchini Russia kwa kujunjia heshima nakala Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3478430 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/29
Chuki dhidi ya Uislamu Ujerumani
IQNA - Mbunge mmoja nchini Ujerumani ametoa wito wa kujumuishwa kwa sheria za kupinga Uislamu katika katiba ya nchi
Habari ID: 3478416 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/26
Waislamu Uingereza
IQNA - Chama tawala cha Wahafidhina (Conservative) nchini Uingereza kimemsimamisha kazi mmoja wa wabunge wake kufuatia maoni ya chuki dhidi ya Uislamu dhidi ya meya wa London.
Habari ID: 3478415 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/26
Chuki dhidi ya Uislamu Uingereza
IQNA - Idadi kubwa ya matukio ya chuki dhidi ya Waislamu na Uislamu yameripotiwa nchini Uingereza tangu kuanza kwa vita vya mauaji ya kimbari vya Israel dhidi ya Gaza, kulingana na kundi linalofuatilia visa kama hivyo.
Habari ID: 3478403 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/23
Chuki dhidi ya Waislamu
IQNA-Nchini Kanada mtu mwenye misimamo mikali kuwa wazungu ndio watu bora zaidi duniani aliyewaua watu wanne wa familia ya Kiislamu amepatikana na hatia ya ugaidi.
Habari ID: 3478399 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/23
Waislamu Ufaransa
IQNA-Kuongezeka chuki katika ngazi za kisiasa na kijamii dhidi ya wanawake Waislamu hasa wanaovalia hijabu na niqabu nchini Ufaransa kumepelekea idadi kubwa ya wanawake hao waihame nchi hiyo ya Ulaya.
Habari ID: 3478370 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/18
Chuki dhidi ya Uislamu
IQNA - Kiongozi mkuu wa Kiislamu mjini Dublin nchini Ireland alivamiwa na watu wawili katika kile alichokitaja kuwa "uhalifu wa makusudi wa chuki" Alhamisi usiku.
Habari ID: 3478361 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/16
Waislamu Ulaya
IQNA - Mahakama ya Ulaya ya Haki za Kibinadamu ilikataa rufaa dhidi ya sheria nchini Ubelgiji zinazopiga marufuku nyama ya Halal na Kosher.
Habari ID: 3478349 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/14
Waislamu Marekani
IQNA - Kituo cha Kiislamu cha Dawah cha Milwaukee nchini Marekani kimeandaa hafla ya Henna & Hijab siku ya Jumamosi, Februari 3, kuheshimu Hijabu inayovaliwa na wanawake wa Kiislamu.
Habari ID: 3478337 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/11
Waislamu India
IQNA - Pakistan imetoa wito kwa Umoja wa Mataifa kuingilia kati na kulinda misikiti na maeneo ya turathi ya Kiislamu nchini India, kufuatia kuharibiwa kwa msikiti wa kihistoria wa Akhunji mjini New Delhi wiki iliyopita.
Habari ID: 3478329 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/10
Waislamu India
IQNA - Takriban watu watano wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa wakati wa maandamano yaliyotokana na ubomoaji wa msikiti na shule wa Kiislamu nchini India, ikiwa ni tukio la hivi punde zaidi katika msururu wa ubomoaji unaolenga majengo ya Waislamu.
Habari ID: 3478323 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/09
Waislamu India
IQNA - Msikiti wa Gyanvapi huko Varanasi, ni eneo la kihistoria iliyojengwa katika karne ya 17, umekuwa kitovu cha hivi punde katika mzozo wa muda mrefu wa kisheria kati ya Wahindu na Waislamu nchini India.
Habari ID: 3478291 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/02
Waislamu China
IQNA - Msikiti Mkuu wa Taipei, mji mkuu wa eneo la Taiwan, ni msikiti mkongwe zaidi katika kisiwa hicho na pia mkubwa zaidi.
Habari ID: 3478264 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/28
Waislamu India
IQNA-Kama ilivyokuwa ikitarajiwa, baada ya kuzinduliwa hekalu la Ram, ambalo lilijengwa na Wahindu wenye itikadi kali katika sehemu ambayo zamani palikuwa na msikiti wa Babri katika jimbo la Uttar Pradesh, duru mpya ya mashinikizo ya kijamii dhidi ya Waislamu wa India imeanza.
Habari ID: 3478256 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/26
Waislamu Marekani
IQNA - Mashirika kadhaa ya Kiislamu ya Marekani yameanya kikao cha kwanza cha mafunzo ya aina yake kwa Idara ya Upelelezi Marekani-FBI- na Idara ya Sheria ya Marekani kuhusu chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) huko San Francisco siku ya Jumanne.
Habari ID: 3478246 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/24