Waislamu Marekani
IQNA - Baadhi ya viongozi wa Kiislamu wa Marekani wanaripotiwa kusita kufanya kazi na Ikulu ya White House katika kuandaa mkakati wa kukabiliana na chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) kutokana na utawala wa Rais Joe Biden kuendelea kuunga mkono vita vya mauaji ya kimbari vinavyoendelezwa na Israel dhidi ya Wapalestina huko Gaza.
Habari ID: 3478109 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/29
Uhusiano wa Waislamu na Wakristo
IQNA - Msikiti mmoja huko Abbottabad uliandaa sherehe ya Krismasi kwa watoto wa Kikristo, ambapo wanafunzi Waislamu wa madrassa walikabidhiwa mabegi ya shule na zawadi.
Habari ID: 3478101 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/27
Waislamu Ujerumani
IQNA - Barua ya vitisho imetumwa kwa msikiti katika mji wa Magharibi mwa Ujerumani wa Munster.
Habari ID: 3478036 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/14
Diplomasia ya Utamaduni
MADRID (IQNA – Mwambata wa Utamaduni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Uhispania amesisitiza haja ya maendeleo ya mazungumzo baina ya dini mbali mbali katika nchi hizi mbili.
Habari ID: 3478011 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/09
Jinai za Israel
WASHINGTON, DC (IQNA) - Viongozi wa Kiislamu kutoka majimbo kadhaa ya yanayoamua matokeo ya uchaguzi Marekani, yaani Swing States, wametangaza kuondoa uungaji mkono wao kwa Rais Joe Biden, kwa sababu ya kushindwa kwake kutoa wito wa kusitishwa kwa mapigano huko Gaza.
Habari ID: 3477981 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/03
Waislamu Kanada
OTTAWA (IQNA) - Jumuiya ya Waislamu huko Chatham-Kent, ambayo ina mamia ya watu, inataka kuwa na makaburi ambapo wanaweza kuzika wapendwa wao kulingana na imani yao.
Habari ID: 3477974 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/02
Waungaji mkono Palestina
TEHRAN (IQNA)- Katika muendelezo wa himaya na uungaji mkono wa ulimwengu kwa mapambano ya wananchi wa Gaza na kulaani jinai za utawala ghasibu wa Israel, maelfu ya wananchi wa Pakistan wameandamana na kuelekea katika ubalozi mdogo wa Marekani.
Habari ID: 3477967 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/30
Waislamu Ujerumani
BERLIN (IQNA) – Kiongozi mmoja wa jamii ya Waislamu nchini Ujerumani ameelezea wasiwasi wake juu ya kuongezeka kwa chuki dhidi ya Waislamu nchini humo kufuatia vita vya utawala wa Israel dhidi ya Wapalestina huko Gaza.
Habari ID: 3477958 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/28
Chuki dhidi ya Uislamu
BERLIN (IQNA) – Chuki dhidi ya Uislamu ni tatizo kubwa nchini Ujerumani, na kulishughulikia kunahitaji ushiriki wa makundi makubwa ya jamii, mtaalamu mashuhuri amesema.
Habari ID: 3477939 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/24
Chuki dhidi ya Uislamu
OTTAWA (IQNA) - Mwanaharakati wa Kiislamu wa Kanada (Canada) alielezea kiwango cha chuki dhidi ya Uislamu na ukandamizaji Waislamu nchini humo katika wiki za hivi karibuni kuwa haujawahi kutokea.
Habari ID: 3477894 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/15
Waislamu Warohingya
JAKARTA (IQNA) - Siku ya Jumanne, kundi la karibu wakimbizi 200 Waislamu wa jamii ya Rohingya, wakiwemo wanawake na watoto, waliwasili katika jimbo la magharibi mwa Indonesia, kulingana na afisa wa eneo hilo.
Habari ID: 3477891 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/14
Waislamu Marekani
WASHINGTON, DC (IQNA) - Ripoti mpya inasema kwamba matukio ya chuki dhidi ya Waarabu na Waislamu nchini Marekani yameongezeka hadi kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa tangu vita kati ya Israel na Wapalestina kuzuka katika Ukanda wa Gaza mwezi uliopita.
Habari ID: 3477872 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/10
Chuki dhidi ya Uislamu
BERLIN (IQNA)- Utafiti mpya umefichua kuwa, asilimia 40 ya wanaume Waislamu nchini Ujerumani wanakabiliwa na vitendo vya ubaguzi katika maisha yao ya kila siku, huku hujuma na mashambulio ya kibaguzi dhidi ya Waislamu yakiripotiwa kukithiri katika nchi hiyo ya bara Ulaya.
Habari ID: 3477864 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/09
Chuki dhidi ya Uislamu
BERLIN (IQNA) - Ujerumani imeelezea wasiwasi wake juu ya kuongezeka kwa matukio ya ubaguzi wa dhidi ya Waislamu nchini humo tangu kuanza kwa mzozo wa Gaza Oktoba 7.
Habari ID: 3477854 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/07
Kadhia ya Palestina
TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) na ujumbe alioandamana nao wamekutana na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Khamenei.
Habari ID: 3477847 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/06
WASHINGTON, DC (IQNA) - Donald Trump aliuambia mkutano wa wafadhili wa Kiyahudi wa Republican siku ya Jumamosi kwamba atarejesha marufuku yake ya wasafiri kutoka nchi nyingi za Waislamu ikiwa atashinda tena urais mnamo 2024.
Habari ID: 3477806 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/29
Waislamu Marekani
WASHINGTON, DC (IQNA) - Ustahimilivu wa jumuiya ya Waislamu wa Marekani ulionyeshwa wakati umati wa watu waliofurika ulipojitokeza kwa ajili ya karamu ya 29 ya kila mwaka ya Baraza la Mahusiano ya Kiislamu ya Marekani (CAIR) wikendi hii.
Habari ID: 3477787 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/25
Waislamu India
NEW DELHI (IQNA) - Wahindu wenye msimamo mkali walimpiga na kumuuai Mwislamu mlemavu kwa kula prasad kwenye hekalu.
Habari ID: 3477669 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/29
Waislamu Mauritania
NOUAKCHOTT (IQNA) - Mauritania imeanza kusambaza nakala 300,000 za Qur'ani Tukufu katika misikiti ya nchi hiyo.
Habari ID: 3477667 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/29
Umoja wa Waislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, Harakati ya Lobi ya Kiyahudi ya Kizayuni duniani pamoja na washirika wake inataka kupenya na kuwa na ushawishi baina ya Waislamu na hivyo kuudhibiti Umma wa Kiislamu.
Habari ID: 3477660 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/27