IQNA – Makumbusho mapya yanayolenga kuhifadhi kumbukumbu adimu za Qiraa au usomaji wa Qur'ani wa maqari maarufu wa Misri yanatarajiwa kufunguliwa katika jengo la kihistoria la Maspero jijini Cairo, katika makao ya redio na televisheni ya taifa.
Habari ID: 3480812 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/09
IQNA – Maonesho ya kudumu katika Makumbusho ya Qur'ani jijini Makkah yanawapa wageni tajiriba ya kipekee ya kiutamaduni na kiroho kupitia hati nadra za Qur'ani na nakala kubwa zaidi ya Qur'ani duniani.
Habari ID: 3480811 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/09
TEHRAN (IQNA)- Tafsiri ya kale ya Qur’ani Tukufu inahifadhi katika Jumba la Makumbusho la Nyaraka za Kale la Alexandria nchini Misri.
Habari ID: 3474297 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/15
Baadhi ya nakala za kale zaidi za Qur’ani duniani ambazo ni zama miaka ya awali ya Uislamu zimewekwa katika maonyesho.
Habari ID: 2917897 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/03/02