iqna

IQNA

apathaidi
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International linasema walowezi wa Kizayuni wanaotenda jinai dhidi ya Wapalestina hawaadhibiwi katika mfumo unaotawala Israel wa ubaguzi wa rangi.
Habari ID: 3476682    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/09

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema utawala wa Israel "lazima uvunje mfumo wa ubaguzi wa rangi au apathaidi ambao unasababisha mateso na umwagaji damu mkubwa" katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3476502    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/02

Ubaguzi wa rangi Israel
TEHRAN (IQNA)- Wabunge katika Bunge la Kitaifa la Ufaransa wametia saini rasimu ya azimio la kulaani utawala wa Kizayuni wa Israel kutokana na sera zake za ubaguzi wa rangi au apatahidi na jinai za kivita dhidi ya Wapalestina.
Habari ID: 3475527    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/23

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Kamati ya Kanisa la Presbyterian nchini Marekani imepitisha azimio la kutangaza Israeli utawala wa ubaguzi au apathaidi .
Habari ID: 3475457    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/03

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Jumamosi, Juni 11, 2022 huko Manchester, NH, jimboni New Hampshire Marekani, Kongamano la New England la Makanisa ya Methodist ilipitisha kwa wingi azimio lenye kichwa “Kutambua na Kupinga Ubaguzi wa Rangi Katika Ardhi Takatifu.”
Habari ID: 3475392    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/18

TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini amesisitiza kuwa, kuna haja ya kuchukuliwa hatua ya moja kwa moja dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel, kutokana na jinai na mienendo yake ya ubaguzi wa rangi wa apathaidi .
Habari ID: 3474948    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/19

TEHRAN (IQNA)- Mwanasheria mkuu wa zamani wa utawala wa Kizayuni wa Israel aumeutaja utawala huo kuwa ni "utawala wa kibaguzi au apathaidi ".
Habari ID: 3474922    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/12

TEHRAN (IQNA)- Mkutano mkuu wa chama cha Leba nchini Uingereza umepigia kura na kupitisha hoja ya kuitambua Israel kuwa ni utawala unaotenda jinai ya ubaguzi wa Apathaidi, na kukifanya kuwa chama cha kwanza kikubwa cha siasa barani Ulaya kuchukua msimamo huo dhidi ya utawala haramu wa Kizayuni.
Habari ID: 3474349    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/27