iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Makundi ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina yameuonya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kuhusiana na kuendelea uvamizi na hujuma dhidi ya maeneo matakatifu ya Kiiislamu huko Palestina hususan maziara makaburi ya al-Yusufiya huko Quds (Jerusalem) inayokaliwa kwa mabavu na utawala huo.
Habari ID: 3474480    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/27