iqna

IQNA

samwil
TEHRAN (IQNA)- Walowezi wa Kizayuni Alhamisi wamepachika alama kubwa ya Kiyahudi ijulikanayo kama Menorah katika paa la msikiti wa kihistoria katika kijiji cha An-Nabi Samwil,kaskazini magharibi mwa mji wa Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3474608    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/27