adam

IQNA

Jiografia ya Matukio katika Qur'ani Tukufu/3
IQNA - Watu wote waliowahi kuishi duniani ni kizazi cha Adam (AS) na Hawa.
Habari ID: 3478032   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/14

Jiografia ya Matukio katika Qur'ani Tukufu /1
TEHRAN (IQNA) – Adam (AS) alikuwa mtume wa kwanza aliyeishi Jannat Firdaus (Peponi au Paradiso) baada ya kuumbwa na Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3477863   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/09

Shakhsia katika Qur’ani/5
TEHRAN (IQNA) – Qabil alikuwa mtoto wa kwanza wa Adam na Hawa. Hakuwa na tatizo na kaka yake Habil lakini kiburi na husuda vilimpelekea kutenda jinai ya kwanza mauaji ya kwanza katika historia ya mwandamu.
Habari ID: 3475979   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/23

Shakhsia katika Qur'ani/3
TEHRAN (IQNA) - Kwa mujibu wa mafundisho ya Uislamu, hakuna Mtume wa Mwenyezi Mungu aliyefanya dhambi au kosa lolote. Ikiwa ndivyo, mtu anawezaje kueleza na kuhalalisha uasi wa Nabii Adam (AS)?
Habari ID: 3475841   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/26

Shakhsia katika Qur'ani/2
TEHRAN (IQNA) – Kwa mujibu wa Qur'ani Tukufu, Hawa ni Mama wa ubinadamu ambaye asili ya kuwepo kwake ni sawa na ile ya Nabii Adam (AS).
Habari ID: 3475544   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/26

Shakhsia katika Qur’ani/1
TEHRAN (IQNA)- Adamu (AS) ndiye baba wa jamii ya sasa ya mwanadamu na halikadhalika alikuwa Nabii kwa kwanza. Mwanadamu wa kwanza ndiye aliyekuwa Nabii wa kwanza ili mwanadami asiachwe kamwe bila mwongozo.
Habari ID: 3475530   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/23

TEHRAN (IQNA)- Polisi katika mji wa Columbus jimboni Ohio Marekani wameanzisha uchunguzi kufuatia mauaji ya Imamu wa msikiti mmoja katika mji huo.
Habari ID: 3474730   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/27