iqna

IQNA

madhehebu
TEHRAN (IQNA)- Mwanazuoni mwandamizi wa Iraq amesisitiza kuhusu ulazima wa wanazuoni na maulamaa wa Kiislamu dunaini kuwa macho ili kuzuia njama za maadui za kuchochea mifarakano baina ya Waislamu.
Habari ID: 3474452    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/21

TEHRAN (IQNA)- Rais wa Iran amesema wazo la kuzikurubisha pamoja madhehebu za Kiislamu lililobuniwa na Imam Khomeini (MA), Mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ni hatua ya kistratajia katika ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3474444    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/19

TEHRAN (IQNA) –Kongamano la 35 la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu limepengwa kufanyika mwezi Oktoba kwa njia ya intaneti.
Habari ID: 3474240    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/30

TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu amesema, uhusiano na ushirikiano imara baina ya Chuo cha Kidini cha Qum na cha Al Azhar cha Misri unaweza kuwa na matokeo chanya na yenye faida kwa Waislamu duniani katika kupambana na ukufurishaji na misimamo ya kufurutu mpaka.
Habari ID: 3474107    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/17

TEHRAN (IQNA) – Ujumbe wa ngazi za juu wa wanazuoni kutoka Chuo cha Kiislamu cha Al Azhar cha Misri ulitembelea Iran nusu karne iliyopita ikiwa ni katika jitihada za wanazuoni wa Shia na Sunni kuleta umoja wa Kiislamu na ukuruba wa madhehebu .
Habari ID: 3473860    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/29

TEHRAN (IQNA)-Mkutano wa 31 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu umepangwa kufanyika wiki ijayo katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Tehran kwa kuhudhuriwa na wageni 300 kutoka nchi 93 duniani.
Habari ID: 3471288    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/30

Russia na Iran zinashirikiana katika kuandaa kongamano la Umoja wa Kiislamu mjini Moscow.
Habari ID: 3470619    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/18

Wanazuoni wa Kishia nchini Misri wamepongeza Chuo Kikuu cha Al Azhar kwa hatua yake ya kuasisi kituo cha kukurubuisha madhehebu ya Kiislamu.
Habari ID: 3470311    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/14

Qur’ani Tukufu inawaita watu wote kuelekea katika akili, hekima na mazungumzo ya kimantiki, amesema mwanazuoni mwandamizi nchini Iran.
Habari ID: 3443991    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/06

Mhadhiri mmoja wa Chuo Kikuu cha Kiislamu cha al-Azhar nchini Misri amesema kuwa, hakuna tatizo lolote katika kuwakurubisha pamoja Waislamu wa madhehebu ya Suni na Shia.
Habari ID: 3345811    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/18

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu ya Kiislamu amesisitiza udharura wa kudumishwa umoja wa Waislamu kwa ajili ya kutatua matatizo ya Mashariki ya Kati.
Habari ID: 3336969    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/30