iqna

IQNA

IQNA – Mfululizo wa miradi ya kipekee ya Qur'an Tukufu imezinduliwa huko Makkah kwa lengo la kuihudumia Kitabu Kitukufu cha Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3481040    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/05

Harakati za Qur'ani
IQNA - Majukwaa ya ki dijitali au ya mtandaoni ambayo hayana leseni hayaruhusiwi kufundisha Qur'ani Tukufu katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Mamlaka Kuu ya Masuala ya Kiislamu, Wakfu na Zakat nchini humo imesema.
Habari ID: 3478926    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/04

Teknolojia katika Uislamu
ISLAMABAD (IQNA) – Msomi mmoja wa Pakistani ametengeneza programu ya ki dijitali ya Qur'ani Tukufu ambayo hurahisisha kupata na kusoma Qur'ani Tukufu. Programu hiyo aidha inahakikisha kuwa uchapishaji Qur'ani Tukufu unafanyika bila makosa.
Habari ID: 3477507    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/28

TEHRAN (IQNA)- Maimamu na wahubiri misikitini nchini Misri sasa watapata mafunzo maalumu kuhusu matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii, intaneti na mabadiliko ya ki dijitali .
Habari ID: 3475215    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/06