iqna

IQNA

maryam
Qari al-Taruti
TEHRAN (IQNA) – Disema 25 huadhimishwa na Wakristo wengi kama Siku ya Krismasi ambayo inaadhimisha siku ya kuzaliwa kwa Nabii Isa Mwana wa Maryam (Yesu) amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu yake.
Habari ID: 3476307    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/26

Kisa cha Manabii
TEHRAN (IQNA) - Kuna visa au hadithi nyingi katika Qur'ani Tukufu kuhusu Mitume ambazo zinaweza kusomwa kwa mitazamo tofauti. Moja ya vipengele ni jinsi manabii walivyozungumza na Mwenyezi Mungu na kubainisha maombi yao.
Habari ID: 3475734    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/04

Sura za Qur'ani Tukufu / 3
TEHRAN (IQNA) - Surah Al Imran ni mojawapo ya Sura ndefu zaidi za Qur'ani ambayo inahusu mada mbalimbali kuanzia kuzaliwa na maisha ya mitume kama vile Yahya na Issa-Amna ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yao- hadi namna mitume walivyokabiliana na njama na uhasama.
Habari ID: 3475393    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/18

Uislamu na Ukristo
TEHRAN (IQNA) – Msomo wa Kijerumani anaamini kwamba Qur'ani Tukufu imesaidia kuimarisha utambulisho wa Kikristo.
Habari ID: 3475262    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/17