iqna

IQNA

tayyib
TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kitaifa ya Kiislamu ya al-Wefaq, kundi kuu la upinzani la Bahrain, amekaribisha wito wa Shekhe Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar Sheikh Ahmed el-Tayyib wa mazungumzo ya baina ya Waislamu wa madhehebu ya Shia na Sunni.
Habari ID: 3476072    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/11

Umoja wa Waislamu
TEHRAN (IQNA) – Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu (WFPIST) imekumbatia wito wa Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar wa kuanzisha mazungumzo kati ya Waislamu wa madhehebu za Shia na Sunni.
Habari ID: 3476050    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/07

Umoja wa Waislamu
TEHRAN (IQNA)- Sheikhe Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al Azhar nchini Misri ametoa mwito wa Umoja wa Kiislamu sambamba na kufanyika mazungumzo baina ya Maulamaa wa madhehebu ya Shia na Sunni kwa ajili ya kukabiliana na fitina na mapigano ya kikaumu.
Habari ID: 3476037    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/05

TEHRAN (IQNA)- Sheikh Ahmad El Tayyib, Sheikh Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al Azhar nchini Misri amefanya mazungumzo ya simu na Mfalme Abdallah wa Pili wa Jordan.
Habari ID: 3474829    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/20

Sheikh Ahmad Tayyib, Mkuu wa Chuo Kikuu cha Al Azhar cha Misri amesema chuo hicho kitaanzisha televisheni ya satalaiti itakayorusha matangazo kwa lugha za Kiingereza na Kifaransa ili kuwasilisha taswira sahihi ya Uislamu katika nchi za Magharibi.
Habari ID: 3470343    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/29

Sheikhe Mkuu wa Al Azhar
Sheikhe Mkuu wa Chuo cha al Azhar nchini Misri, Dk Ahmad Muhammad al Tayyib amesema kuwa, kwa mujibu wa aya ya 32 ya Suratul Maida ya Qur'ani Tukufu, dini ya Kiislamu inapiga marufuku kumshambulia mwanadamu yeyote kutoka dini yoyote ile.
Habari ID: 3470327    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/21

Shekhe Mkuu wa Chuo Kikuu cha kidini cha al Azhar nchini Misri amepinga hatua ya wahubiri wa Kiwahabi na Kisalafi ya kutumia kauli isiyofaa ya ‘Rafidh’ kuwataja Wapenzi wa Ahul Bayt wa Mtume SAW.
Habari ID: 3323156    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/04

Sheikh Ahmad Khatib, Shekhe Mkuu wa Chuo Kikuu cha Al Azhar nchini Misri ametoa taarifa na kusema kwa mujibu wa sheria za Kiislamu, ni haramu kubomoa athari na turathi za kihistoria.
Habari ID: 3308489    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/27

Magaidi wa Kitakfiri au Kiwahabbi ambao wanajifanya kuwa Waislamu sasa wanatekeleza jinai katika maeneo mbali mbali ya dunia kwa lengo la kuuharibia jina Uislamu. Hayo yamedokezwa na Shekhe Mkuu wa Chuo Kikuu cha Al Azhar nchini Misri, Ahmad Tayyib.
Habari ID: 1407014    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/05/15