TEHRAN (IQNA)-Waandalizi wa Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani nchini Tunisia wameiomba Iran imteue qarii na mtaalamu Qur’ani ili awe miongoni mwa jopo la majaji katika mashindano hayo.
Habari ID: 3471413 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/03
TEHRAN (IQNA)-Idhaa ya Qur'ani nchini Tunisia imesitisha matangazo yake baada ya serikali ya nchi hiyo kuipiga marufuku kutokana na kueneza itikadi za ukufurishaji.
Habari ID: 3471247 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/04
Waziri wa Masuala ya Dini Tunisia amefutwa kazi, baada ya kusema kuwa, idiolojia ya Uwahhabi ambayo inatawala Saudi Arabia ndiyo chanzo cha ugaidi duniani.
Habari ID: 3470652 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/05
Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Tunisia mwaka huu hayatafanyika kutokana na ukosefu wa bajeti.
Habari ID: 3470328 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/23
Waziri wa Masuala ya Kidini Tunisia
Waziri wa Masuala ya Dini Tunisia Sheikh Uthman Batikh amesisitiza kuhusu ulazima wa kukabiliana na misimamia mikali pamoja na harakati za wakufurishaji na kuongeza kuwa, 'leo wale wenye misimamo mikali wameharibu sura ya Uislamu'.
Habari ID: 3460914 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/07
Rais Beji Caid Essebsi wa Tunisia ametangaza hali ya hatari ya siku 30 kufuatia shambulizi dhidi ya basi lililokuwa limewabeba maafisa usalama wa nchi hiyo hapo .jana
Habari ID: 3457119 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/25
Mufti Mkuu wa Tunisia amesema kuwa mirengo yenye kufurutu ada na makundi ya kitakfiri kama ISIS au Daesh ni tishio kuu kwa ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3386403 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/17
Baraza Kuu la Vyombo vya Habari Tunisia limefunga televisheni na radio kadhaa za Kiislamu nchini humo kwa tuhuma kuwa hazina vibali.
Habari ID: 3331856 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/21
Mufti wa Tunisia Sheikh Hamda Saeed amewaomba radhi Wa tunisia baada ya kubaini kuwa alifanya kosa kwa kutangaza mapema siku kuu ya Idul Ftir.
Habari ID: 3330378 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/20
Serikali ya Tunisia imeamua kufunga misikiti 80 inayoendeshwa nje ya udhibiti wake, siku moja baada ya kutokea shambulio la kigaidi na kupelekea makumi ya watu kuuawa katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
Habari ID: 3320222 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/28
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itashiriki katika mashindano ya kimataifa ya Qur’ani nchini Tunisia
Mashindano hayo yanatazamiwa kufanyika baadaye mwezi huu katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
Habari ID: 3147174 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/04/15
Waziri wa Mambo ya Nje wa Tunisia, amekadhibisha taarifa iliyosambazwa na vyombo vya habari kuhusiana na kuhamishiwa nchini humo ofisi ya Sheikh Yusuf Qardhawi, Mkuu wa Muungano wa Kimatiafa wa Maulama Waislamu.
Habari ID: 1394424 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/04/13