TEHRAN (IQNA)- Kundi la vyama vya siasa na asasi za kiraia nchini Tunisia zimefanya kongamano kwa mnasaba wa mwaka wa pili wa kuuawa shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) na Abu Mahdi al-Muhandis, Naibu Mkuu wa Kikosi cha Kujitolea cha Wananchi wa Iraq cha Hashd al Sha'abi.
Habari ID: 3474743 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/30
Idhaa ya Qur'ani Tunisia, 'Radio Zaitouna' sasa inamilikiwa na serikali
Habari ID: 3474558 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/14
TEHRAN (IQNA) – Spika wa bunge lililosimamishwa kazi la Tunisia amesema atajiuzulu iwapo hilo litatatua matatizo ya kisiasa nchini Tunisia.
Habari ID: 3474536 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/10
TEHRAN (IQNA)- Rais Kais Saied wa Tunisia amemetua Najla Bouden Romdhane, kuwa waziri mkuu wa kwanza mwanamke katika historia ya nchi hiyo, baada ya kupita takribani miezi miwili tangu alipohodhi madaraka yote ya nchi, hatua iliyoelezwa na wapinzani wake kama mapinduzi ya kijeshi.
Habari ID: 3474359 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/29
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Tunisia Kais Saied amesema nchi yake haitastahamili uingiliaji wowote wa kigeni huku akiwa chuni ya mashinikizo kutoka kwa madola ya magharibi kufungua tena bunge la nchi hiyo.
Habari ID: 3474283 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/11
TEHRAN (IQNA)- Afisa mwandamizi wa chama cha Kiislamu cha Ennahdha nchini Tunisia anashikiliwa kifungo cha nyumbani kutokana na kile ambacho kimetajwa ni kutumia vibaya madaraka.
Habari ID: 3474167 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/07
TEHRAN (IQNA)-Maafisa wa usalama Tunisia Ijumaa walimtia mbaroni mbunge ambaye alikosoa vikali uamuzi wa hivi karibuni wa rais Kais Saied ‘kunyakua; madaraka.
Habari ID: 3474144 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/31
TEHRAN (IQNA)- Vyombo vya habari vimearifu kuwa, jeshi la Tunisia limetuma vikosi vya jeshi katika mji mkuu wa nchi hiyo, Tunis kufuatia matukio ya karibuni na uamuzi wa Rais wa nchi hiyo, Kais Saeid wa kuwafuta kazi Waziri Mkuu na Spika wa Bunge.
Habari ID: 3474129 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/26
TEHRAN (IQNA) –Rais Kais Saied wa Tunisia leo ametembelea nchini ya Libya ambapo amefnaya mazungumzo na viongozi wa serikali mpya ya umoja wa kitaifa.
Habari ID: 3473743 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/17
TEHRAN (IQNA) - Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Tunisia imeashiria juhudi za baadhi ya mataifa ya kieneo za kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel na kusisitiza kwamba, serikali ya Tunis haina mpango wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala huo ghasibu.
Habari ID: 3473484 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/23
TEHRAN (IQNA) – Wananchi wa Tunisia wameandamana katika mji mkuu Tunis, kulaani uamuzi wa kuifunga Radio ya Qur’an nchini.
Habari ID: 3473436 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/08
TEHRAN (IQNA) – Wanaharakati wa kisiasa nchini Tunisia wametaka Oktoba Mosi itambuliwe nchini humo kama ‘Siku ya Kitaifa ya Kupambana na Uzayuni.’
Habari ID: 3473224 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/02
TEHRAN (IQNA)- Wananchi wa Tunisia waliokuwa na hasira wameandamana nje ya ubalozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) mjini Tunis kupinga kuanzishwa uhusiano wa kawaida baina ya UAE na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3473085 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/19
TEHRAN (IQNA) – Vyama vitano vya kisiasa nchini Tunisia vimezindua mpango wa kupiga kura ya kutokuwa na imani na spika wa bunge la nchi hiyo Rached Ghannouchi ambaye anatuhimiwa kupembelea upande mmoja.
Habari ID: 3472959 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/13
TEHRAN (IQNA) – Wananchi wa Tunisia wamerejea katika misikiti na migahawa Alhamisi baada ya nchi hiyo kuhitimisha zuio na vizingiti ambavyo vilikuwa vimewekwa kuzuia kuenea ugonjwa wa COVID-19.
Habari ID: 3472835 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/04
TEHRAN (IQNA) - Kituo cha Utamaaduni cha Jamhuri ya Kiislamu Iran nchini Tunisia kimeandaa mafunzo ya usomaji Qur’ani Tukufu kwa njia ya intaneti katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3472716 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/29
TEHRAN (IQNA) – Washindi wa Awamu ya 17 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tunisia wametangazwa katika sherehe iliyofanyika Ijumaa.
Habari ID: 3472276 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/14
TEHRAN (IQNA) – Washindi wa Mashindano ya 16 ya Kimataifa ya Qur'ani nchini Tunisia wametangazwa na kutunukiwa zawadi zao.
Habari ID: 3471772 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/15
Katika kutetea timu ya taifa iliyosoma Al Fatiha kabla ya mechi
TEHRAN (IQNA)- Dhakir Lahidhab ni daktari mpasuaji ambaye M tunisia ambaye katika kuwajibu wale waliokosoa hatua ya timu ya taifa ya soka ya nchi hiyo kusoma aya za Qur'ani kabla ya mechi na Uingereza katika Kombe la Dunia amesema binafsi husoma Qur'ani kabla ya kila oparesheni ya upasuaji.
Habari ID: 3471569 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/23
TEHRAN (IQNA)- Nakala nadra ya na yake ya Qur’ani Tukufu iliyoandikwa karne 9 zilizopita imepatikana nchini Tunisia.
Habari ID: 3471435 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/19