iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA) - Mashambulizi ya usiku ya wanajeshi wa Israel kwenye Ukanda wa Gaza yamegharimu maisha ya watu 46 licha ya Hamas kuwachilia mateka wawili wa Kimarekani siku ya Ijumaa.
Habari ID: 3477773    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/22

TEHRAN (IQNA) – Mamilioni ya watu kote duniani walijitokeza mitaani Oktoba 20 kushutumu kuendelea kwa mashambulizi ya kikatili ya Israel dhidi ya Gaza ambayo yamesababisha zaidi ya Wapalestina 4,100 kuuawa ndani ya wiki mbili.
Habari ID: 3477771    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/22

OTTAWA (IQNA) - Wakati wa ziara yake ya kutembelea msikiti mjini Toronto, Waziri Mkuu wa Canada amezomewa na hadhirina kotokana na msimamo wake kuhusu mauajii yanayoendelea kufanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya raia wa Ukanda wa Gaza huko Palestina ambako amepatwa na tahayuri asijue la kufanya
Habari ID: 3477769    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/22

Katika siku ya 14 ya uvamizi wa Israeli dhidi ya Ghaza, jeshi linaloikalia kwa mabavu la utawala wa Kizayuni liliendelea kushambulia kwa mabomu maeneo ya makazi ya watu, jambo ambalo lilipelekea makumi ya watu kuuawa shahidi, Kuendelea kushambuliwa kwa mabomu huko Gaza kumesababisha mashahidi 3,785 na zaidi ya 12,000 kujeruhiwa, wengi wao wakiwa watoto na wanawake.
Habari ID: 3477767    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/21

TEHRAN (IQNA) - Waislamu katika nchi mbalimbali katika eneo la Asia Magharibi waliingia barabarani Jumanne usiku kukemea uhalifu wa hivi punde wa Israel katika kulenga hospitali ya kiraia katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3477756    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/18

GAZA (IQNA) - Idadi ya watu waliouawa katika mashambulizi ya anga ya Israel kwenye Ukanda wa Gaza imezidi 1,900 huku msafara wa Wapalestina waliokuwa wakielekea kusini mwa Gaza ukilengwa kwa makombora ya Israel.
Habari ID: 3477738    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/15

GAZA (IQNA) - Makabiliano kati ya muqawama wa Palestina na wanajeshi wa Israel yanaendelea kufuatia uzinduzi wa Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa siku ya  Jumamosi kutoka Gaza
Habari ID: 3477715    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/11

GAZA (IQNA) - Tangu kuanza kwa mashambulizi ya anga katika Ukanda wa Gaza tarehe 7 mwezi Oktoba, utawala wa Israel ulishambulia kwa mabomu na kuharibu misikiti saba katika eneo hilo lililozingirwa na waisraeli.
Habari ID: 3477714    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/11

GAZA (IQNA) - Zaidi ya wakazi 120,000 wa Wapalestina wa Ukanda wa Gaza wameyakimbia makazi yao kutokana na mzozo unaoendelea kati ya vikosi vya upinzani na jeshi la Israel, Umoja wa Mataifa ulisema.
Habari ID: 3477702    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/09

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) imesema zaidi ya Wapalestina milioni mbili huko Gaza (Ghaza) wanateseka kutokana na mzingiro wa miaka 16 wa utawala haramu wa Israel dhidi ya eneo hilo.
Habari ID: 3476492    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/31

Mashindano ya Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya usomaji wa Qur'ani na Tajweed yaliyoandaliwa kwa ajili ya wanafunzi wa shule yamehitimishwa nchini Palestina.
Habari ID: 3476276    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/20

Mapambano dhidi ya Israel
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon wapigania ukombozi wa Palestina kwa kupata uthubutu na ujasiri wa kujibu jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina.
Habari ID: 3475594    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/08