Jinai za Israel
IQNA – Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar nchini Misri kimetoa taarifa kali kikosoa jamii ya kimataifa kwa kutojali mgogoro wa kibinadamu ulioibuliwa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3480043 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/12
Matukio ya Palestina
IQNA – Utawala wa Israeli unaendelea kuzuia misaada muhimu kuwafikia wale wanaohitaji katika Ukanda wa Gaza, hatua ambayo Umoja wa Mataifa umeilaani.
Habari ID: 3480035 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/11
Jinai za Israel
IQNA-Katika mwaka uliomalizika wa 2024, wanajeshi wa utawala wa Kiziayuni wa Israel walibomoa kikamilifu Misikiti 815 na kuharibu mingine 151 katika Ukanda wa Ghaza. Hayo yameelezwa katika ripoti iliyotolewa na Wizara ya Wakfu na Masuala ya Dini ya Palestina.
Habari ID: 3480011 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/06
Watetezi wa Palestina
IQNA – Mufti Mkuu wa Oman ametoa wito kwa mataifa yote kuwaunga mkono mashujaa wa Yemen ambao wanapigania haki na kupinga dhulma.
Habari ID: 3480002 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/04
Jinai za Israel
IQNA - Kituo cha Kiislamu cha A-Azhar cha Misri kimebainisha matumaini kwamba mwaka wa 2025 utakuwa mwaka wa ushindi na amani kwa Wapalestina wanaokabiliwa na mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni wa Israel huko Gaza.
Habari ID: 3479990 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/01
Jinai za Wazayuni
IQNA- Katibu mkuu wa Umoja wa Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu (IUMS) amesema kwamba ukatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza hauwezi kuvumiliwa na jamii ya kimataifa lazima ichukue hatua haraka ili kuweka mwisho wa mauaji ya kimbari ya Kizayuni huko Gaza.
Habari ID: 3479963 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/28
Jinai za Israel
IQNA - Shambulio la anga la utawala haramu wa Israel kaskazini mwa Ukanda wa Gaza limeripotiwa kuwaua watu 10 wa familia ya Khallah, wakiwemo watoto saba, kulingana na shirika la uokoaji la Ulinzi wa Raia wa Palestina.
Habari ID: 3479931 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/21
Jinai za Israel
IQNA - Uchunguzi uliofanywa na kundi moja la kutetea haki za binadamu unaonyesha kuwa msikiti uliolengwa na wanajeshi wa Israel wakati wa sala ya alfajiri mwezi Novemba mwaka jana haukuwa na wanajeshi wakati wa shambulio hilo.
Habari ID: 3479926 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/20
Jinai za Israel
IQNA-Mataifa na shakhsia mbalinmbali ulimwenguni wameendelea kupongeza uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) wa kutoa kibali cha kukamatwa Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu, na aliyekuwa waziri wake wa vita Yoav Gallant, wakituhumiwa kutenda jinai za vita.
Habari ID: 3479792 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/22
Jinai za Israel
IQNA - Madhara ya afya ya akili ya vita vya mauaji ya kimbari vya Israel dhidi ya Wapalestina huko Gaza yanaweza kuonekana miongoni mwa watoto katika eneo lote hilo la Palestina.
Habari ID: 3479779 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/20
Jinai za Israel
IQNA-Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani ametoa mwito wa kufanyika uchunguzi wa jamii ya kimataifa kuhusu "mauaji ya halaiki" ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza
Habari ID: 3479767 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/18
Watetezi wa Palestina
IQNA - Mgomo wa kula ulioanzishwa na idadi kadhaa ya wanaharakati wa Jordan kwa mshikamano na watu wa Gaza umeingia siku yake ya kumi Jumatatu.
Habari ID: 3479741 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/12
Waislamu Marekani
IQNA - Kundi la kutetea haki za Waislamu nchini Marekani limemsuta rais wa zamani Bill Clinton kwa jaribio lake la kuutetea utawala katili wa Israel ambao unaendesha mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina huko Gaza.
Habari ID: 3479678 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/01
Jinai za Israel
IQNA - Ukatili wa utawala haramu wa Israel huko Gaza na Lebanon katika mwaka uliopita umesababisha kuundwa kwa muungano wa mataifa ya Kiislamu "kwa njia ambayo haikutarajiwa", amesema mwanazoni mwandamizi wa Iran.
Habari ID: 3479667 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/29
Watetezi wa Palestina
IQNA – Madiwani 114 wa Muslim wa chama tawala cha Leba Uingereza wamemuandikia barua Waziri Mkuu wa Uingereza, wakitaka kuwekewa vikwazo vya mara moja vya silaha dhidi ya Israel huku vikosi vya utawala huo vikiendelea kutumia silaha na zana za viita zinazotolewa na nchi za Magharibi kutekeleza mauaji ya kimbari huko Palestina na Lebanon.
Habari ID: 3479611 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/18
Uislamu Marekani
IQNA - Mkurugenzi wa kituo cha uchapishaji cha Qur'ani Tukufu huko Chicago, Marekani, amebainisha ongezeko kubwa la hamu ya Wamarekani kusoma Qur’ani Tukufu tangu kuanza kwa Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa na vita vya Gaza.
Habari ID: 3479610 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/18
Watetezi wa Palestina
IQNA – Hafla imefanyika katika kanisa moja nchini Uholanzi katika kuwaenzi wale waliouawa shahidi katika vita vya mauaji ya kimbari vya Israeli dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3479550 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/07
Jinai za Israel
IQNA – Ukweli kwamba utawala haramu wa Israel umeangamiza familia 902 katika Ukanda wa Gaza katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita ni ushahidi usiopingika wa dhamira ya utawala wa Israel kutekeleza mauaji ya kimbari.
Habari ID: 3479549 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/06
IQNA - Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri kimelaani ukatili wa Israel huko Lebanon na Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3479499 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/27
Jinai za Israel
IQNA - Apple, YouTube na majukwaa mengine ya vyombo vya habari yamehimizwa na kikundi cha kutetea Waislamu cha Marekani kufuta podikasti ya kila wiki ya Wazayuni Waisraeli ya lugha ya Kiingereza ambayo husifu mauaji ya kimbari ya Wapalestina huko Gaza.
Habari ID: 3479385 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/05