iqna

IQNA

Jinai za Israel
IQNA – Utawala wa Kizayuni wa Israel umekuwa ukitumia maji kama silaha ya vita dhidi ya Wapalestina huko Gaza, ikionyesha kutojali maisha ya binadamu na kukiuka sheria za kimataifa.
Habari ID: 3479185    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/26

Kadhia ya Yemen
Yemen ina uwezo mkubwa zaidi wa kukabiliana na mapigo kwa utawala wa Israel, amesema kiongozi wa Ansarullah wa Yemen huku operesheni za kulipiza kisasi za nchi hiyo ya Kiarabu zikiendelea kuwaunga mkono Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3479168    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/22

Shambulizi la Israel dhidi ya Bandari ya al Hudaydah
Vikosi vya Jeshi la Yemen vimeapa kuendeleza operesheni zinazoiunga mkono Palestina baada ya utawala haramu wa Israel kushambulia maeneo ya raia katika nchi hiyo ya Kiarabu.
Habari ID: 3479160    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/21

Kadhia ya Palestina
Vikosi vya utawala katili wa Kizayuni wa Israel vimefanya mashambulizi ya kikatili dhidi ya kambi ya wakimbizi ya al-Mawasi karibu na mji wa Khan Younis, kusini mwa Gaza na kuua Wapalestina wasiopungua 90.
Habari ID: 3479120    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/14

Kadhia ya Palestina
Anwar El Ghazi ameshinda kesi dhidi ya klabu ya Ujerumani ya Bundesliga Mainz 05, ambayo ilikatisha kandarasi yake kwa kuunga mkono Palestina, kulingana na ripoti za vyombo vya habari vya Ujerumani.
Habari ID: 3479119    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/14

Kuiunga Mkono Palestina
Zaidi ya watu milioni moja walishiriki katika maandamano huko Sanaa, mji mkuu wa Yemen, siku ya Ijumaa ili kuthibitisha mshikamano wao na watu wa Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3479118    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/13

Kadhia ya Palestina
Takriban miili 60 imegunduliwa katika kitongoji cha Tal al-Hawa kusini mwa Mji wa Ukanda wa Gaza kufuatia kuondolewa kwa wanajeshi wa utawala huo katili wa Israel katika eneo hilo.
Habari ID: 3479114    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/13

Kadhia ya Palestina
Njaa imetanda katika Ukanda wa Gaza baada ya zaidi ya miezi tisa ya vita vya mauaji ya halaiki ya Israel kwenye eneo la pwani ya Palestina, kundi la wataalamu huru wa Umoja wa Mataifa wanaonya.
Habari ID: 3479106    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/11

Ayatullah Sayyid Ali Khamene
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameyapongeza maandamano yanayoiunga mkono Palestina katika mataifa ya Magharibi kuwa ni "mwanga wa matumaini unaotia moyo."
Habari ID: 3479077    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/06

Kadhia ya Palestina
Khatibu wa ngazi ya juu wa Iran alikosoa utetezi wa nchi za Magharibi wa haki za binadamu, akibainisha kwamba undumakuwili wao unaweza kushuhudiwa katika Ukanda wa Gaza uliozingirwa.
Habari ID: 3479060    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/03

Kadhia ya Palestina
Mteule katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Marekani alijiuzulu siku ya Jumanne, akitolea mfano "ushirikiano" wa utawala wa Joe Biden katika mauaji ya kimbari ya Gaza ambapo takriban watu 37,900 wameuawa tangu Oktoba 7,2023 mwaka jana.
Habari ID: 3479059    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/03

Mauaji ya Marekani na Israel
Ushirikiano wa Marekani na Israel katika mauaji ya halaiki, mauaji ya kikabila na njaa ya kulazimishwa utajenga taswira ya jumuiya ya kimataifa ya Marekani kwa vizazi vijavyo, shirika la utetezi la Waislamu lilisema.
Habari ID: 3479058    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/03

Kadhia ya Palestina
IQNA-Marekani na utawala wa Kizayuni zinatekeleza sera ya njaa katika Ukanda wa Gaza ili kuhakikisha Wapalestina wa eneo hilo wanaagamia kutokana na ukosefu wa chakul, maafisa katika eneo hilo la Palestina walisema.
Habari ID: 3478990    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/20

Jinai za Israel
IQNA - Mufti katika jumuiya ya Kiislamu ya Serbia anasema kukabiliana na jinai zinazoendelea za Israel huko Gaza ni jukumu la wanadamu wote.
Habari ID: 3478934    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/05

IQNA - Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) imetoa onyo kali kwamba misaada ya kutosha ya kibinadamu haiwafikii Wapalestina huko Gaza, na kusababisha visa vikali vya njaa miongoni mwa watoto.
Habari ID: 3478924    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/04

Muqawama
IQNA-Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuhusu mashambulizi ya kinyama yaliyofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel huko Rafah kusini mwa Ukanda wa Ghaza kwamba, jinai hiyo ya kutisha uliyofanya utawala huo ghasibu inapasa iwaamshe na kuwatoa kwenye usingizi wa mghafala watu waliojisahau duniani na walioshindwa kuwa na msimamo.
Habari ID: 3478901    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/29

Jinai za Israel
IQNA-Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) imeutaka Utawala wa Kizayuni wa Israel usitishe mashambulizi yake katika mji wa kusini wa Gaza wa Rafah na kujiondoa katika eneo hilo, katika kesi iliyowasilishwa na Afrika Kusini ikiishutumu Israel kwa kufanya mauaji ya kimbari, na kuielezea hali hiyo kuwa ni hatari kubwa kwa wakazi wa Palestina.
Habari ID: 3478881    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/25

Jinai za Israel
IQNA - Vikosi vya Yemen vitaendelea kulenga meli yoyote inayoelekea bandari zinazokaliwa kwa mabavu na Israel, bila kujali kama zinapitia Bahari ya Sham au la, kiongozi wa harakati ya Mapambano ya Kiislamu (muqawma)  ya Ansarullah alisema.
Habari ID: 3478838    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/17

Jinai za Israel
IQNA-Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limetoa mwito wa kukomeshwa mauaji ya kiholela dhidi ya Wapalestina, hasa watoto wadogo katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3478818    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/14

Watetezi wa Palestina
IQNA - Kongamano lililopewa jina la "Muqawama (Mapambano) na Vyombo vya Habari vya Wapalestina" limefanyika katika Taasisi ya Ittila'at mjini Tehran ambapo wazungumzaji walisisitiza nafasi ya vyombo vya habari katika kuangazia jinai za utawala ghasibu wa Israel dhidi ya Wapalestina.
Habari ID: 3478806    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/12