Jinai za Israel
IQNA – Jinamizi ambalo watoto wa Gaza wanapitia linazidi kuwa mbaya siku hadi siku, mkurugenzi mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) alisema.
Habari ID: 3478156 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/06
Jinai za Israel
IQNA – Utawala katili wa Israel umefyatua zaidi ya tani 65,000 za makombora na mabomu kwenye Ukanda wa Gaza tangu Oktoba 7, 2023, na kuua takriban watu 22,438, wengi wao wakiwa wanawake na watoto.
Habari ID: 3478150 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/05
Jinai za Israel
IQNA-Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imeashiria mpango wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kuwafukuza kwa umati Wapalestina katika Ukanda wa Gaza na kutahadharisha kuwa, pendekezo la viongozi wa utawala huo wa Kizayuni la kutaka kupunguzwa idadi ya wakazi wa Gaza ni jinai ya kivita.
Habari ID: 3478128 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/01
Watetezi wa Palestina
IQNA-Afrika Kusini imefungua kesi dhidi ya utawala wa Kizayuni Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) kuhusu mashambulizi ya "mauaji ya kimbari" ya utawala huo dhidi ya Gaza, ambayo hadi sasa yameua zaidi ya Wapalestina zaidi ya 21,500.
Habari ID: 3478112 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/30
Watetezi wa Palestina
IQNA-Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria chimbuko la matukio ya hivi karibuni huko Palestina na kusema kuwa, Marekani na utawala wa Kizayuni zinapaswa kushtakiwa kwa kufanya mauaji ya kimbari huko Gaza.
Habari ID: 3478082 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/24
Kadhia ya Palestina
IQNA-Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema utawala wa Israel hauwezi kufanya jinai nyingi kiasi hiki dhidi ya Wapalestina huko Ghaza bila ya uungaji mkono wa Marekani na Uingereza.
Habari ID: 3478081 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/23
Watetezi wa Palestina
IQNA-Wapiganaji wa harakati ya Mapambano ya Kiislamu (muqawama) ya Hizbullah ya Lebanon wameendelea na mashambulizi yao dhidi ya ngome za kijeshi la utawala haramu Israel karibu na mpaka kati ya Lebanon na ardhi zinazokaliwa kwa mabavu (Israel), kujibu vita vya utawala huo haramu wa Israel dhidi Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3478048 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/17
Matukio ya Palestina
IQNA- Afisa wa ngazi ya juu wa Umoja wa Mataifa ameonya kuwa, asilimia 50 ya wakazi wa eneo la Palestina la Ukanda wa Gaza linalokaliwa kwa mabavu wapo hatari ya kupoteza maisha kutokana na makali ya njaa.
Habari ID: 3478039 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/15
Jinai za Israel
IQNA – Askari wa jeshi vamizi la Israel wameuhujumu na kuunajisi msikiti mmoja huko Jenin wakati wa shambulio lililosababisha vifo vya Wapalestina 12 siku ya Alhamisi.
Habari ID: 3478037 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/15
Dunia yaunga mkono Palestina
IQNA-Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limeidhinishwa kwa wingi wa kura azimio linatoa wito wa kusitishwa mapigano mara moja huko Gaza kwa sababu za kibinadamu.
Habari ID: 3478027 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/13
Watetezi wa Palestina
IQNA - Maandamano duniani kote kupinga na kulaania mauaji ya kimbari yanayotekeleza na utawala haramu wa Israel kwa himaya ya Marekani dhidi ya Wapalestina huko Gaza yanaendelea duniani kote.
Habari ID: 3478018 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/11
Jinai za Israel dhidi ya Wapalestina Gaza
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametumia ibara ya 99 ya Hati ya Umoja wa Mataifa, ambayo ni nadra sana kutumiwa na Katibu Mkuu wa umoja huo, kulitolea wito mzito Baraza la Usalama wa "kushinikiza kuepusha janga la kibinadamu" katika Ukanda wa Gaza na kuungana katika kutoa wito wa kusitishwa kikamilifu mapigano kati ya utawala wa Kizayuni wa Israel na Harakati ya Mapambano (Muqawama) ya Kiislamu ya Palestina HAMAS.
Habari ID: 3477999 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/07
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Kuanzia jana subuhi Ijuumaa, na mara baada ya kumalizika muda wa kusimamisha vita, utawala wa Kizayuni umeendeleza mauaji ya kikatili kupindukia dhidi ya wananchi wa Ghaza huko Palestina wanaoendelea kuzingirwa kila upande.
Habari ID: 3477972 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/02
Umoja wa Waislamu
TEHRAN (IQNA) – Mauaji ya kimbari ambayo yanatekelezwa na utawala wa Israel dhidi ya Wapalestina huko Gaza yalitokea kwa sababu Umma wa Kiislamu umegawanyika, jambo ambalo ni la kusikitisha kabisa, mchambuzi wa masuala ya kisiasa na umma wa Nigeria amesema.
Habari ID: 3477956 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/28
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Ikiwa ni katika muendelezo wa mauaji ya raia yanayofanywa na utawala haramu wa Israel, ndege za kivita za utawala huo hivi karibuni zilishambulia kwa mabomu kambi ya wakimbizi ya Jabalia iliyoko kaskazini mwa Ukanda wa Gaza na kuua kwa umati zaidi ya raia mia moja wa Palestina na kujeruhi wengine zaidi ya mia tatu.
Habari ID: 3477833 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/03
Kadhia ya Palestina
DOHA (IQNA) - Muungano wa Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu (IUMS) ulitoa fatwa siku ya Jumanne, ukizitaka nchi za Kiislamu kuingilia kati ili kuwaokoa watu wa Gaza kutokana na mauaji ya kimbari yanayotekelezwa na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3477825 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/01
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Wapalestina wasiopungua 400, wengi wao wakiwa ni wanawake na watoto, wamethibitishwa kuuawa na kujeruhiwa baada ya mashambulizi ya anga ya utawala katili wa Israel dhidi ya wakimbizi ya Jabaliya katika Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 3477823 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/01
Kimbunga cha Al Aqsa
AL-QUDS (IQNA) - Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limesema hadi sasa takriban watoto 2,360 walikuwa wameuawa katika mashambulizi ya anga ya utawala wa Israel huko Gaza, na kubainisha masikitiko yake kuhusu idadi "ya kushtua" ya watoto waliojeruhiwa katika eneo hilo lililozingirwa.
Habari ID: 3477791 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/26
AL-QUDS (IQNA) - Israel ilizuia makumi ya maelfu ya Wapalestina kuingia katika Msikiti wa Al-Aqsa kwa siku ya Ijumaa ya 2 mfululizo.
Habari ID: 3477775 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/22
LONDON (IQNA) - Uhalifu wa chuki unaochukiwa na Uislamu umeongezeka kwa asilimia 140 mjini Landan tangu kuanza kwa mashambulizi ya Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza, kwa mujibu wa Polisi ya Metropolitan ya Landan.
Habari ID: 3477774 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/22