Tovuti ya Israel ya Ynetnews imeripoti kuwa wadukuzi wa Iran wamefanikiwa kupenya kwenye mitandao ya makampuni zaidi ya 30 ndani ya utawala huo haramu wa Kizayuni.
Habari ID: 3477588 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/12
u
TEHRAN (IQNA)- Shule ya mtandaoni ya kufundisha Qur'ani Tukufu na lugha ya Kiarabu kwa raia wa Algeria wanaoishi katika nchi mbalimbali za dunia ilizinduliwa kwa idhini ya Wizara ya Mambo ya Nje ya nchi hii.
Habari ID: 3475664 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/22