qurani tukufu - Ukurasa 87

IQNA

TEHRAN (IQNA)-Mwanasiasa wa cha chama cha Democrats nchini Sweden amewakasirisha wengi kwa kuivunjia heshima Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3471165    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/10

Watu zaidi ya milioni 15 kote Iran wameshiriki katika mpango wa kitaifa wa kusoma Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3471152    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/02

TEHRAN (IQNA)- Oman imepanga kuanzisha mafunzo ya kusoma Qur’ani Tukufu kupitia intaneti kwa Waislamu wote.
Habari ID: 3471112    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/08

TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya Qur'ani Tukufu barani Ulaya yamepwanga kufanyika katika mji mkuu wa Sweden, Stockholm kwa munasaba wa Siku Kuu ya Idul Ghadir.
Habari ID: 3471108    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/06

TEHRAN (IQNA)-Hassan Rouhani jioni ya leo amekula kiapo cha kuwa rais wa 7 wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kipindi kingine cha miaka minne kwa kuahidi mbele ya Qur'ani tukufu kwamba atalinda Uislamu, Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu na Katiba ya nchi.
Habari ID: 3471106    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/05

Inna Lillah wa Inna Ilahyi Rajioun
TEHRAN (IQNA)-Qarii (msomaji) mashuhuri wa Qur’ani Tukufu kutoka Misri, Sheikh Mohammad Abdul Wahhab el-Tantawi ameaga dunia akiwa na umri wa zaidi ya miaka 70.
Habari ID: 3471089    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/27

TEHRAN (IQNA)-Qarii (msomaji) mashuhuri wa Qur’ani Tukufu nchini Uturuki, Sheikh Abdullah Hatipoglu aliaga dunia Jumapili akiwa na umri wa miaka 88.
Habari ID: 3471086    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/26

TEHRAN (IQNA)-Nakala kubwa ya Qu'rani Tukufu yenye uzito wa kilo 154 imeonyeshwa katika mji mtakatifu wa Madina.
Habari ID: 3471079    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/22

TEHRAN-(IQNA)-Waziri wa Waqfu Misri ametangaza kuundwa Baraza Kuu la Qur'ani nchini humo kwa lengo la kuimarisha viwango vya kuhifadhi Qur'ani na kuratibu vituo vya Qur'ani nchini humo.
Habari ID: 3471052    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/06

TEHRAN (IQNA)-Imebainika kuwa katika gereza moja lililo katika mji mkuu wa Tanzania, Dar es Salaam wamejaa mahafidh wa Qur ‘anI Tukufu wakitumikia kifungo, wengine
Habari ID: 3471045    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/02

TEHRAN (IQNA)-Algeria imetoa msaada wa mamia ya nakala za Qur'an Tukufu kwa ajili ya Waislamu nchini Russia.
Habari ID: 3471039    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/28

TEHRAN (IQNA)-Kwa hakika hatujui ni wapi na ni lini mauti yatatufikia, hiyo ni siri ya Mola Muumba, Allah SWT.
Habari ID: 3470953    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/27

TEHRAN (IQNA)-Qarii mtajika na mtaalamu wa Qur'ani kutoka Misri amesema kila mshiriki katika mashindano ya Qur'ani ni mshindi.
Habari ID: 3470946    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/22

IQNA: Waislamu nchini Malawi wamepongeza tarjuma ya Qur’ani Tukufu kwa lugha ya Kiyao na kisema itawawezesha kufahami vyema zaidi mafundisho ya kitabu hicho kitukufu.
Habari ID: 3470873    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/01

IQNA: Mashindano ya Qur'ani yamefanyika nchini Tanzania wiki hii kuchagua wawakilishi wa nchi hiyo ya Afrika Mashariki katika mashindano yajayo ya kimataifa katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3470845    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/12

IQNA-Qarii mashuhuri wa Misri Sheikh Abdul Wahid Zaki Radhi ameaga dunia Ijumaa akiwa na umri wa miaka 80.
Habari ID: 3470733    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/10

IQNA-Mashindano ya kimatiafa ya Qur'ani Tukufu kwa ajili ya wanafunzo wa vyuo vikuu vya Kiislamu (Hawza) nchini Iran yamepangwa kufanyika katika mji mtakatifu wa Qum.
Habari ID: 3470695    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/24

IQNA-Mashindano ya uchoraji kwa kuzingatia ufahamu wa Aya za Qur'ani kwa mtazamo wa watoto Waislamu yamefanyika Afrika Kusini.
Habari ID: 3470692    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/23

IQNA-Vituo maalumu vya kutafakari kuhusu Qur'ani Tukufu vimetengwa katika njia zinazotumiwa na wafanyaziara wanaoekelea Karbala kwa ajili ya Arubaini ya Imam Hussein AS.
Habari ID: 3470679    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/16

Wanaowania kugombea ugavana na unaibu gavana katika jimbo la Aceh nchini Indonesia wametahiniwa kuhusu uwezo wao wa kusoma Qur'ani kama sharti la kushiriki uchaguzi wa 2017.
Habari ID: 3470590    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/01