qurani tukufu - Ukurasa 82

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Masomo ya Qur'ani yameanza tena katika misikiti ya Ukanda wa Ghaza siku ya Jumapili baada ya kufungwa kwa miezi miwili kutokana na janga la COVID-19 au corona.
Habari ID: 3472936    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/06

TEHRAN (IQNA) – Nakala nadra ya kale ya Qur’ani Tukufu iliyoandikwa Iran katika karatasi ya Kichina imeuzwa kwa pauni za Uingereza milioni saba katika mnada mjini London
Habari ID: 3472904    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/27

TEHRAN (IQNA) – Moja ya mbinu za qiraa ya Qur’ani Tukufu ni kusoma aya au sura ndefu kwa pumzi moja sambamba na kuzingatia kanuni zote za usomaji.
Habari ID: 3472892    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/23

TEHRAN (IQNA) – Msanii wa Libya amefanikiwa kuandika Qur’ani Tukufu kikamilifu kwa maandishi ya kaligrafia.
Habari ID: 3472863    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/13

TEHRAN (IQNA) – Qarii mashuhuri wa Qur'ani nchini Misri, Sheikh Abdul Basit Abdul Samad, ambaye aliaga dunia mwaka 1988, alikuwa maarufu kwa kusoma Qur'ani kwa sauti laini na aliwavutia wengi duniani.
Habari ID: 3472845    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/07

TEHRAN (IQNA) – Hussein Abdul Zahir ni kijana Mmisri ambaye ana uwezo wa kuiga qiraa ya wasomaji Qur'ani 11 maarufu duniani.
Habari ID: 3472828    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/02

TEHRAN (IQNA)- Mahmoud Abdul Fattah Taruti, anafuata nyayo za baba yake, Ustadh Abdul Fattah Ali Taruti, mmoja wa wasomaji mashuhuri wa Qur'ani nchini Misri.
Habari ID: 3472805    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/26

Shirika la Habari la Qur'ani la Kimataifa (IQNA) limekuwa likuwaleteeni qiraa za wasomaji mbali mbali wa Qur'ani katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3472775    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/17

TEHRAN (IQNA) – Kituo cha Kiislamu cha Imam Ali AS mjini Stockholm, Sweden kimeandaa mashindano ya Qur’ani Tukufu kwa njia ya intaneti .
Habari ID: 3472763    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/13

TEHRAN (IQNA) – Pamoja na kuwepo tishio la ugonjwa wa COVID-19 na matatizo yatokanayo na zuio la watu kutoka nje nchini Malaysia, Waislamu nchini humo wanatumia wakati wao nyumbani kujikurubisha zaidi na Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3472761    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/13

TEHRAN (IQNA) – Sheikh Shahat Mohammad Anwar amesoma aya 185 ya Sura Al-Baqara kuhusu Mwezi Mtukufu wa Ramadhani na Sawmu pamoja na aya ya 186 ya sura hiyo hiyo.
Habari ID: 3472757    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/11

TEHRAN (IQNA) – Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu imezindua aplikesheni mpya ya Qur’ani Tukufu kwa mnasaba wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3472741    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/06

TEHRAN (IQNA) – Qarii mashuhuri wa Qur’ani Tukufu kutoka Algeria, Sheikh Muhammad bin Sudaira hivi karibuni alisoma aya za Qur’ani Tukufu kuhusu Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3472740    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/06

TEHRAN (IQNA) – Sheikh Tariq Abdul Basit Abdul Samad, mwanae qarii mashuhuri wa Qur’ani Tukufu nchini Misri marhum Sheikh Abdul Basit Abdul Samad, hivi karibuni amesoma aya za Qur’ani Tukufu kuhusu Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3472739    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/06

TEHRAN (IQNA) - Vikao vya qiraa ya Qur'ani Tukufu vinafanyika katika hospitali na vituo vya tiba katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Tehran katika mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3472734    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/04

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kutomuogopa adui na kusimama kidete dhidi yake ni katika maamrisho na maelekezo muhimu ya Qurani Tukufu.
Habari ID: 3472706    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/26

TEHRAN (IQNA)- Hivi karibuni klipu ya video ya qiraa ya Qur’ani Tukufu ya Ustadh Abdul Basit Abdul Samad imesambaa katika intaneti.
Habari ID: 3472698    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/24

TEHRAN (IQNA) – Aplikesheni mpya ya Qur’ani Tukufu inayojulikana kama “Quranona” ambayo ina tarjuma kwa lugha 35 imezinduliwa.
Habari ID: 3472680    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/19

Inna Lillah wa Inna Ilayhi Rajioun
TEHRAN (IQNA) – Qarii (msomaji) mashuhuri wa Qur’ani Tukufu nchini Misri Sheikh Muhammad Mahmoud Asfour ameaga dunia Ijumaa akiwa na umri wa miaka 82.
Habari ID: 3472678    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/18

TEHRAN (IQNA) – Qarii (msomaji) maarufu wa Qur’ani Tukufu kutoka Saudi Arabia, Abubakr al-Shateri ameambukizwa ugonjwa wa COVID-19 au corona.
Habari ID: 3472622    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/01