qurani tukufu - Ukurasa 83

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Mahmoud Khaled Suwaid, mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Misri cha Al-Manofiyeh nchini, alishinda nafasi ya pili katika Mashindano ya Qur’ani yaliyofanyika mjini Kazan, nchini Russia.
Habari ID: 3475311   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/29

Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA)- Rasmus Paludan, mwanasiasa mwenye msimamo mkali mwenye uraia wa Sweden na Denmark ambaye alizindua msafara wa kuteketeza moto Qur’ani Tukufu nchini Sweden hivi karibuni amekariri jinai yake hiyo yenye chuki dhidi ya Uislamu katika bustani ya jiji la Landskrona kusini mwa Sweden.
Habari ID: 3475310   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/29

Qur'ani na kutafakari
TEHRAN (IQNA)- Wito wa kutafakri ni miongoni mwa mawaidha mazito katika dini ya Kiislamu na ni ya thamani na muhimu sana kiasi kwamba Mtume Mtukufu Muhammad (SAW) amesema: “Saa ya kufikiri ina thamani zaidi kuliko miaka 60 ya ibada bila kufikiri”.
Habari ID: 3475309   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/30

Watoto na Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Usajili wa masomo ya Qur'ani Tukufu katika majira ya joto katika misikiti ya Misri umepokelewa vyema na watoto wa shule.
Habari ID: 3475292   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/25

Kuhifadhi Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA)- Rashad Nimr Abu Ras, mvulana Mpalestina mwenye umri wa miaka saba amehifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3475288   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/24

Qur'ani inasema nini / 2
TEHRAN (IQNA)- Wakati Mwenyezi Mungu SWT alipomuumba mwanadamu, alimfanya kuwa Khalifa au msaidizi wake katika ardhi.
Habari ID: 3475280   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/22

TEHRAN (IQNA)-Mvulana Mmisri mwenye umri wa miaka 9 ana kipaji cha kipekee cha kusoma Qur'ani Tukufu kiasi kwamba sasa amepewa lakabu ya 'Abdul Basit Mdogo".
Habari ID: 3475279   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/22

TEHRAN (IQNA) – Wakati fulani mwanadamu hukumbana na hali ngumu ambazo hakuna mtu anayeweza kumuelewa wala kumsaidia na hivyo huelekea kuomba msaada kwa yule mwenye nguvu ambaye anajua yuko karibu.
Habari ID: 3475264   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/19

Uislamu na Ukristo
TEHRAN (IQNA) – Msomo wa Kijerumani anaamini kwamba Qur'ani Tukufu imesaidia kuimarisha utambulisho wa Kikristo.
Habari ID: 3475262   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/17

TEHRAN (IQNA)- Kituo cha Imam Ali AS cha Vienna, Austria kimeanzisha mpango wa kuhifadhi Qur'ani kwa njia ya intaneti.
Habari ID: 3475253   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/15

TEHRAN (IQNA)- Hayya Alal Falah ni sehemu ya Adhana au wito wa Sala katika Uislamu na maana yake ni Haya njooni kwenye kufaulu, mafanikio au wokovu.
Habari ID: 3475252   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/15

TEHRAN (IQNA)- Aplikesheni maalumu ambayo inawasiadia Waislamu kuhitimisha Qur'ani Tukufu imezinduliwa hivi karibuni nchini Kuwait.
Habari ID: 3475250   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/14

TEHRAN (IQNA) – Mwanachuoni wa kidini alisema Allamah Seyed Mohammad Hossein Tabatabaei alifungua njia mpya katika tafsiri ya Kurani Tukufu.
Habari ID: 3475242   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/12

TEHRAN (IQNA)- Wakazi wa kijiji cha Al-A'aija nchini Algeria wamemkaribisah kwa furaha Faisal Hajjaj, mkazi wa kijiji hicho ambaye aliibuka wa kwanza kitaifa katika mashindano ya kitaifa ya Qur'ani ya watoto.
Habari ID: 3475236   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/11

TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya Qur’ani kupitia mitandao ya kijamii yamefanyika nchini Tanzania kwa himya ya Kituo cha Utamaduni cha Iran mjini Dar es Salaam ambapo washindi wametunukiwa zawadi.
Habari ID: 3475231   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/10

TEHRAN (IQNA)- Nakala ya Qur'ani Tukufu iliyofasiriwa kwa lugha ya Kichina inahifadhiwa katika Kituo cha Bait-ul-Qur'an nchini Bahrain.
Habari ID: 3475229   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/09

TEHRAN (IQNA)-Utumizi wa neno 'Insallah' (Mungu Akipenda) umeenea sana miongoni mwa Waislamu kote duniani.
Habari ID: 3475221   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/08

TEHRAN (IQNA)- Fainali ya Mashindano ya Qur'ani Tukufu ya mabarobaro imemalizija Jumatatu wiki hii nchini Zambia.
Habari ID: 3475207   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/05

TEHRAN (IQNA)- Mohamed Ibrahim Ahmed Ghanim ni kijana Mmisri aliyeibuka mshindi katika shindano la qiraa katika Mashindano ya 22 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tanzania mwaka huu.
Habari ID: 3475199   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/02

QOM (IQNQ) - Kikao cha mwisho cha kisomo cha Qur'ani Tukufu cha tarteel kimefanyika Jumapili katika Haram Takatifu ya Bibi Maasoumah mjini Qum. Siku Kuu ya Idul Fitr itaadhimishwa nchini Iran Jumanne.
Habari ID: 3475197   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/02