trump - Ukurasa 3

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Mgawanyiko mkubwa umedhihirika katika uga wa kisiasa Marekani wakati rais Donald Trump wa nchi hiyo alipokuwa akitoa hotuba ya kila mwaka mbele ya Bunge la Kongresi huku mchakato wa kumuondoa madakarani ukikaribia kumalizika.
Habari ID: 3472442   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/05

TEHRAN (IQNA) – Iwapo Waislamu nchini Marekani wanataka 'kuonekana' na masuala yao yazingatiwe katika ngazi za maamuzi muhimu, basi wanapaswa kushiriki katika uchaguzi ujao wa rais nchini humo.
Habari ID: 3472430   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/01

TEHRAN (IQNA) – Watetezi wa haki za wahamiaji na haki za binadamu wamemlaani Rais Donald Trump wa Marekani kwa kupanua marufuku ya nchi ambazo raia wake wanakabiliwa na vizingiti vya uhamiaji kuingia nchini humo, hatua ambayo imetajwa kuwa na ajenda ya chuki dhidi ya raia wa kigeni.
Habari ID: 3472428   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/01

Katika barua maalumu
TEHRAN (IQNA) - Spika wa Bunge la Iran (Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu) ametoa wito wa kukabiliana na mpango bandia wa Rais Donald Trump uliopewa jina la "Muamala wa Karne". Aidha ametoa wito kutatuliwa mgogoro wa Palestina kwa kutumia njia ya kura ya maoni na udiplomasia wa kibunge.
Habari ID: 3472418   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/29

TEHRAN (IQNA) – Baraza la Mahusiano ya Kiislamu Marekani (CAIR) limeanzisha kampeni maalumu ya kuwahimiza Waislamu kushiriki kikamilifu katika uchaguzi wa rais utakaofanyika nchini humo mwaka 2020.
Habari ID: 3472395   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/22

TEHRAN (IQNA) - Baraza la Mahusiano ya Kiislamu Marekani (CAIR) limekosoa ujumbe wa Twitter wa Rais Donald Trump wa nchi hiyo wenye kukejeli Uislamu na Waislamu na kusema ujumbe huo unaweza kuhatarisha maisha ya Wamarekani Waislamu na Masingasinga.
Habari ID: 3472370   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/14

TEHRAN (IQNA) - Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetekeleza kivitendo ahadi yake ya kutoa jibu kali kwa jinai ya Marekani ya kumuua kigaidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC
Habari ID: 3472357   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/09

TEHRAN (IQNA) - Mbunge Muislamu Marekani apinga sera za Trump dhidi ya Iran na kusema vikwazo na vita vya kiuchumi ni hatua ambazo zinakinzana na sera za kupunguza taharuki.
Habari ID: 3472356   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/09

TEHRAN (IQNA) – Meya Mwislamu huko New Jersey nchini Marekani amesema alishikiliwa kwa muda katika Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa John F. Kennedy mjini New York mwezi uliopita ambapo maafisa wa usalama walimsaili kuhusu iwapo anawafahamu magaidi.
Habari ID: 3472129   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/14

TEHRAN (IQNA) - Wabunge katika Kongresi ya Marekani ambayo walidhalilishwa na Rais Donald Trump wa nchi hiyo wamesema hawatatishika.
Habari ID: 3472046   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/07/16

TEHRAN (IQNA)-Rais Donald Trump wa Marekani amelaani vikali na kutengwa kimataifa kudai kuwa kuwa utawala haramu wa Israel unamiliki miinuko ya Golan ya Syria.
Habari ID: 3471887   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/03/24

TEHRAN (IQNA)- Waislamu katika mji wa Memphis jimboni Tenessee wameanza chehreza za muda wa mwezi moja kwa lengo la kuutmabulisha Uislamu kwa wasiokuwa Waislamu eneo hilo.
Habari ID: 3471861   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/03/04

TEHRAN (IQNA)- Mashirika ya kutetea haki za raia nchini Marekani yamemlaani rais Donald Trump wa nchi hiyo kwa kumteua mtu mwenye chuki dhidi ya Uislamu kuwa naibu mshauri wa usalama wa taifa.
Habari ID: 3471810   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/18

TEHRAN (IQNA)-Waislamu Marekani wamelaani uamuzi wa Mahakama ya Kilele nchini humo kuunga mkono marufuku kuingia nchini humo wasafiri kutoka nchi tano za Waislamu huku wakisema uamuzi huo utawaathiri vibaya.
Habari ID: 3471575   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/28

TEHRAN (IQNA) - Jumatano iliyopita , Rais Donald Trump wa Marekani aliandaa katika Ikulu ya White House kile alichodai kuwa ni dhifa ya futari kwa ajili ya Waislamu, lakini la kushangaza ni kuwa Waislamu wa Marekani hawakualikwa.
Habari ID: 3471549   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/09

TEHRAN (IQNA)- Wapalestina wasiopungua 54 wameuawa shahidi baada ya kufyatuliwa risasi na wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 3471512   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/14

TEHRAN (IQNA)- Moto mkubwa umeteketeza na kuharibu tena Kituo cha Kiislamu cha Eastside katika eneo la Bellevue, jimbo la Washington nchini Marekani, hii ikiwa ni mara ya pili eneo hilo la Waislamu kuteketezwa moto katika kipindi cha mwaka moja.
Habari ID: 3471439   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/22

TEHRAN (IQNA)-Waislamu nchini Marekani wamepanga kuswali mbele ya Ikulu White House mjini Washington DC na kisha kufanya maandamano makubwa ya kulalamikia ubaguzi wanaotendewa na utawala wa Rais Donald Trump.
Habari ID: 3471369   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/24

TEHRAN (IQNA)-Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon amehutubua mkuntano wa dharura wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu na kupendekeza Marekani iwekewe vikwazo kufuatia uamuzi wa Rais Donald Trump wa nchi hiyo kutmabua Quds Tukufu (Jerusalem) kama mji mkuu wa utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3471303   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/10

TEHRAN (IQNA)- Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeitisha kikao cha dharura kesho Ijumaa kuzungumzia uamuzi wa rais wa Marekani, Donald Trump wa kutangaza kutambua Baytul Muqaddas (Jerusalem) kama mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3471299   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/07