daraja la pili

IQNA

Waislamu Uingereza
TEHRAN (IQNA) – Kwa mujibu wa ripoti ya taasisi moja ya utafiti, Waislamu wa Uingereza wamepunguziwa hadhi ya uraia wao hadi hadhi ya "daraja la pili" kutokana na mamlaka iliyoongezwa hivi karibuni ya kuwavua watu utaifa au uraia wao.
Habari ID: 3475771   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/12