wahubiri

IQNA

IQNA – Utawala dhalimu wa Israel umewapiga marufuku wahubiri wawili mashuhuri wa Kiislamu wa Palestina kuingia katika Msikiti wa Al‑Aqsa  jijini Al Quds (Jerusalem) kwa kipindi cha miezi sita.
Habari ID: 3482211   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/07

Hali Saudia
TEHRAN (IQNA)- Jumuiya 16 za Kiislamu duniani zimetoa tamko la kulaani hukumu kali za vifungo jela dhidi ya walinganiaji wa Kiislamu wa Saudi Arabia zilizotolewa hivi karibuni na mamlaka ya mahakama ya Saudia.
Habari ID: 3475785   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/15