iqna

IQNA

cuba
IQNA-Rais Miguel Diaz-Canel wa Cuba amelaani vikali mauaji ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza na kueleza kwamba, mauaji hayo ya kimbari ni kashfa na fedheha kwa ubinadamu.
Habari ID: 3478104    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/28

Diplomasia
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, uwezo mkubwa wa kisiasa na kiuchumi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Cuba unapaswa kutumiwa kuunda muungano wa nchi ambazo zina misimamo sawa dhidi ya ubabe na utumiaji mabavu wa Marekani na Wamagharibi.
Habari ID: 3477987    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/04

Waislamu Dunianii
TEHRAN (IQNA) - Msikiti wa kwanza wa Cuba utajengwa katika mji mkuu Havana ambapo inatarajiwa kuwa ujenzi wake utafadhiliwa na Saudia Arabia kwa ajili ya Waislamu wanaoishi katika nchi hiyo ya Amerika Kusini.
Habari ID: 3475815    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/20

Waislamu nchini Cuba wametoa wito wa kujengwa msikiti katika mji mkuu wa nchi hiyo, Havana.
Habari ID: 2877957    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/02/21

Rais Rajab Tayyib Erdogan amesema Bara Amerika lilivumbuliwa na Waislamu katika karne ya 12 Miladia, karibu karne tatu kabla ya Christopher Columbus kufika hapo.
Habari ID: 1474359    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/11/17