mashindano ya qurani - Ukurasa 35

IQNA

IQNA-Gazeti moja la Misri limemtaja Binti Muirani mwenye umri wa miaka tisa kuwa ‘kompyuta’ kutokana na ustadi wake katika kuhifadhi Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3470668   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/11

IQNA-Binti Muirani mwenye umri wa miaka tisa amejibu vizuri maswali ya jopo la majaji katika mashindano ya kimataifa ya kuhifadhi Qur’ani ya wanawake.
Habari ID: 3470665   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/10

Mashindano ya Qur'ani ya wanafunzi kwa ajili ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Cairo yameanza.
Habari ID: 3470662   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/08

IQNA-Binti Muirani mwenye umri wa miaka 9, Hannaneh Khalfi yuko katika Umoja wa Falme za Kiarabu, UAE (Imarati) kushiriki mashindano ya Qur’ani ya wanawake.
Habari ID: 3470650   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/04

Mashindano ya kwanza ya Qur'ani Tukufu kwa wale waliosilimu yamepangwa kufanyika mjini Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu, UAE, (Imarati).
Habari ID: 3470624   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/21

Mwambata wa Utamaduni wa Iran nchini Tanzania amesema Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Wanachuo Waislamu ni mjumuiko wa viongozi wa baadaye wa ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3470598   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/04

Awamu ya 10 ya Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani nchini Iran yamemalizika Ijumaa mjini Tehran.
Habari ID: 3470578   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/24

Mashindano ya Qur’ani ya msimu wa joto yameanza mjini Bidiya nchini Oman.
Habari ID: 3470530   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/18

Mashindano ya kimataifa ya kuhifadhi Qur'ani Tukufu yanafanyika nchini Gambia kwa kuhudhuriwa na wawakilishi wa nchi 28.
Habari ID: 3470478   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/28

Katibu wa Baraza la Ustawi wa Utamaduni wa Qur’ani Iran amesema Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Wanachuo Waislamu ni tukio la kipekee katika Ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3470445   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/10

Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu yamefanyika hivi karibuni nchini Liberia katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3470402   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/20

Sherehe za kufunga Mashindano ya 4 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Uturuki zimefanyika Ijumaa hii mjini Istanbul.
Habari ID: 3470394   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/18

Qarii wa Muirani Medhi Gholamnejad Jumamosi alionyesha ustadi wake katika kusoma Qur'ani Tukufu katika Mashindano ya Nne ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu nchini Uturuki.
Habari ID: 3470379   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/12