iqna

IQNA

IQNA: Qur’ani Tukufu ina maarifa ya kimataifa yanayopaswa kufafanuliwa, na ujumbe wake unapaswa kuwasilishwa kwa ulimwengu mzima, amesema Hujjatul Islam Mohsen Qara’ati, mwanazuoni wa Kiislamu na mtafsiri wa Qur’ani kutoka Iran.
Habari ID: 3480759    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/30

Qur'ani Tukufu Inasemaje / 35
TEHRAN (IQNA) – Qur’ani Tukufu inatilia maanani sana familia, kitengo kidogo zaidi cha kijamii, na imechota haki za usawa za wanaume na wanawake. Moja ya haki hizo ni kukidhi gharama za maisha na Uislamu umewapa wanaume jukumu hili.
Habari ID: 3476099    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/16