iqna

IQNA

Sura za Qur'ani Tukufu / 58
TEHRAN (IQNA) – Qur’ani Tukufu inawataka waumini wa kweli kujiunga na Hizbullah. Leo, Hezbullah imekuwa neno lenye maana ya kisiasa. Kwa mtazamo wa Qur'ani Tukufu Hizbullah ni neno lenye maana ya kidini na kiitikadi na neno hili kimsingi maana yake ya moja kwa moja ni 'Chama cha Mwenyezi Mungu'.
Habari ID: 3476439    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/21