msikiti wa jamkaran

IQNA

IQNA – Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon ametangazwa rasmi kuwa “Mahdi Yavar" yaani Msaidizi wa Imam Mahdi' wa Mwaka.
Habari ID: 3481891    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/04

IQNA – Naibu mkurugenzi wa kitamaduni wa Msikiti wa Jamkaran mjini Qom, Iran, amesema zaidi ya watu 16,000 wamesajiliwa kushiriki katika ibada ya Itikafu ya mwezi wa Rajab.
Habari ID: 3481764    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/04

IQNA-Afisa mmoja huko Qum ametaja idadi ya Wafanyaziara waliotembelea mji huo mtukufu katika siku zinazoelekea Idi ya Nisf Shaaban kuwa zaidi ya milioni nne.
Habari ID: 3480231    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/17

IQNA – Takriban mawkiba 500 zimetoa huduma mbalimbali kwa mamia ya maelfu ya wafanyaziara ambao waliokuwa wakisherehekea sherehe za Nisf Shaaban katika Msikiti wa Jamkaran huko Qom. (Picha zilipigwa Februari 13, 2025)
Habari ID: 3480220    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/14

IQNA – Mkusanyiko wa wafuasi na maashiki wa Imam Mahdi (AS) unaendelea katika Msikiti wa Jamkaran, Qom, Iran, usiku wa Iddi ya Katikati ya Shaaban maarufu kama Nisf Shaaban.
Habari ID: 3480212    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/13

QOM (IQNA) –Msikiti wa Jamkaran ulio katika mji wa Qom nchini Iran umesafishwa ili kuutayarisha kwa ajili ya sherehe za siku ya katikati ya Sha’aban ambayo pia ni maarufu kama Nisf Sha'ban
Habari ID: 3476636    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/27