Ayatullah Khamenei:
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei leo ametoa ujumbe uliosomwa kwa mahujaji wa Nyumba Tukufu ya Mwenyezi Mungu kwenye uwanja wa Arafa mjini Makka akiitaja ibada ya Hija kuwa ni sikukuu kubwa ya Umma wa Kiislamu na fursa yenye muujiza unaoweza kutibu matatizo ya ulimwengu wa Kiislamu. Matini kamili ya ujumbe wa Kiongozi Muadhabu kwa mahujaji wa Nyumba ya Mwenyezi Mungu ni hii ifuatayo
Habari ID: 1765 Tarehe ya kuchapishwa : 2013/10/27