Kadhia ya Palestina
Vikosi vya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas vimelipua vifaru vya jeshi la utawala haramu wa Israel katika Ukanda wa Gaza kwa kutumia mabomu yaliyotekwa kutoka wanajeshi wa Israel.
Habari ID: 3479028 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/29
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali mashambulizi ya kinyama ya nchi kavu na anga ya utawala wa Kizayuni wa Israel huko Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 1347433 Tarehe ya kuchapishwa : 2013/12/28