Shirika la kutetea haki za binaadamu la Human Rights Watch limesema ni aibu kuwa waziri mkuu wa zamani wa utawala haramu wa Israel Ariel Sharon amekufa pasina kufikishwa kizimbani kujibu mashtaka ya kuhusika na mauaji ya kinyama ya Sabra na Shatila.
Habari ID: 1358687 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/01/14