Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema vikwazo havijaweza kibadilisha sera za Jamhuri ya Kiislamu. Amongeza kuwa ni kosa kudhani kuwa Iran imeamua kubadilisha sera zake kutokana vikwazo ilivyowekewa.
Habari ID: 1358688 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/01/14