Wanafunzi wa vyuo vikuu nchini Nigeria wameadhimisha Siku ya Kimataifa ya Hijab na kutangaza kufungamana kwao na Waislamu kote duniani katika kutetea haki ya wanawake Waislamu kuwa na uhuru wa kuvaa Hijabu.
Habari ID: 1369408 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/02/02