iqna

IQNA

Utawala wa Aal Khalifa nchini Bahrain umeanzisha wimbi jipya la kukabiliana na fikra huru, nara za kidini, harakati za jumuiya na taasisi huru za kidini nchini humo sanjari na vyombo vya sheria kutoa amri ya kuvunjwa Baraza la Maulamaa la nchi hiyo. Mahakama ya Bahrain siku ya Jumatano ilitoa amri ya kuvunjwa na kutaifishwa mali zote za baraza hilo.
Habari ID: 1369535    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/02/02