iqna

IQNA

Rais Yahya Jammeh wa Gambia ameitangaza nchi yake kuwa Jamhuri ya Kiislamu itangaza hatua hiyo na kusema kuwa, kuanzia sasa mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu unatawala nchini humo ikiwa ni katika juhudi za kutoa utambulisho kwa thamani za kidini.
Habari ID: 3462295    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/12

Amnesty International
Shirika la kimataifa la kuteteta haki za binadamu la Amnesty International limesema kuwa Waislamu katika Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) wamelazimika kuritadi na kuacha dini yao kutokana na kutishiwa maisha.
Habari ID: 3337640    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/01

Ripoti zinasema kuwa karibu miskiti yote 436 katika Jamhuri ya Afrika ya Kati imebomolewa kutokana na machafuko ya kidini.
Habari ID: 3008622    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/03/18

Rais wa mpito wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Bi. Catherine Samba Panza, amemteua Mohammad Kamoun kuwa Waziri Mkuu mpya wa nchi hiyo.
Habari ID: 1438785    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/08/12

Msemaji wa Jumuiya ya Waislamu katika Jamhuri ya Afrika ya Kati amesema, wanamgambo wa Kikristo nchini humo wamewaua vijana watatu Waislamu na kukatakata viungo vyao vya mwili.
Habari ID: 1412082    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/05/29

Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya Tehran amekosoa vikali kimya cha jamii ya kimataifa mbele ya mauaji ya umati yanayofanyika katika Jamhuri ya Afrika ya Kati dhidi ya Waislamu. Ayatullah Sayyid Ahmad Khatami amebainisha masikitiko yake kuwa makundi ya Wakristo wenye misimamo mikali wameachwa kuendelea na mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu katika nchi hiyo ya Kiafrika.
Habari ID: 1380936    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/02/28

Magaidi wa Kikristo huko Jamhuri ya Afrika ya Kati wamewapa Waislamu waliookwenda kujisitiri katika kanisa moja nchini humo kuondoka nchini humo au wauawe.
Habari ID: 1380049    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/02/25

Mbunge mmoja wa Chad amesisitiza kuhusu ulazima wa kutuma askari wa kimataifa kulinda maisha ya Waislamu Jamhuri ya Afrika ya Kati. Mohammad Ibn Zain ameongeza kuwa kuendelea mauaji ya umati ya Waislamu huko Jamhuri ya Afrika ya Kati ni natija ya kimya cha jamii ya kimataifa.
Habari ID: 1379190    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/02/24

Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International limeonya kuwa kuna operesheni za kufukuza jamii ya Waislamu kwa kuwaua kwa umati katika Jamhuri ya Afrika ya Kati, suala ambalo askari wa kulinda amani wa kimataifa wameshindwa kulizuia.
Habari ID: 1374699    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/02/13