iqna

IQNA

Serikali kuu ya Italia imekwenda kwenye mahakama ya Katiba kupinga sheria mpya iliyopitishwa na serikali ya ndani ya jimbo la Lombardy la kaskazini mwa nchi hiyo.
Habari ID: 2983062    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/03/14

Kamati ya Kufuta Ubaguzi ya Umoja wa Mataifa imeikosoa serikali ya Brussels kutokana na mwenendo wake wa kinyonga katika kuanzisha taasisi ya kitaifa ya haki za binadamu.
Habari ID: 1380048    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/02/25