iqna

IQNA

IQNA – Sherehe maalum ilifanyika nchini Mauritania ili kuwaenzi wahitimu kutoka Kituo cha Kuhifadhi Qur’ani  Tukufu na masomo ya kidini cha Mina, kilichopo katika eneo la Nouakchott Kusini.
Habari ID: 3480155    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/03

IQNA – Toleo la 29 la mashindano Makuu ya Qur’ani Tukufu ya Bahrain lilianza rasmi siku ya Jumamosi katika Kituo cha Kiislamu cha Al Fateh.
Habari ID: 3480154    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/03

IQNA – Mashindano ya 10 ya Kimataifa ya Qur'ani kwa wanajeshi yalianza rasmi Makkah siku ya Jumamosi.
Habari ID: 3480145    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/02

IQNA – Mamlaka za Sweden zinasema mtu aliyedhalilisha Qu'rani Tukufu  katika nchi hiyo ya Kaskazini mwa Ulaya mara kadhaa ameuawa.
Habari ID: 3480134    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/31

IQNA – Mjumbe wa jopo la majaji katika raundi ya mwisho ya uMashindano ya Kimataifa ya Qur’an ya 41 ya Iran alisisitiza kiwango cha juu cha washiriki katika kitengo cha kuhifadhi.
Habari ID: 3480132    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/31

IQNA – Toleo la 8 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani  Tukufu ya Port Said litaanza Ijumaa katika mji wa bandari wa Port Said, Misri.
Habari ID: 3480125    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/30

Fainali za Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani  ya Iran:
IQNA – Kundi la kwanza la washiriki katika kitengo cha wanawake lilipanda jukwaani Jumamosi asubuhi kuonyesha ujuzi wao wa kusoma Qur’ani Tukufu  katika hatua ya fainali ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani  ya 41 ya Iran.
Habari ID: 3480114    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/29

IQNA – Mwakilishi wa Iraq katika kitengo cha kuhifadhi Qur’ani Tukufu  kwenye Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani  ya 41 ya Iran amesisitiza umuhimu wa kutekeleza mafundisho ya Kitabu Kitakatifu katika maisha ya kila siku.
Habari ID: 3480113    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/29

IQNA - Semina yenye kichwa “Algeria: Kibla ya Qur’ani na Kisomo” ilifanyika jijini Algiers pembeni mwa Mashindano ya 20 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu nchini Algeria.
Habari ID: 3480104    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/26

IQNA - Mwakilishi wa Iran katika Mashindano ya 20 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu nchini Algeria amesema ameridhishwa na utendaji wake kwenye tukio hilo la Qur’ani.
Habari ID: 3480101    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/26

IQNA - Qari mashuhuri wa Misri Ahmed Ahmed Nuaina alielezea kipaji chake cha Qur'ani Tukufu kuwa ni baraka kubwa zaidi katika maisha yake.
Habari ID: 3479124    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/14

IQNA - Hafla ilifanyika huko Algeria kuadhimisha mwaka wa 33 wa kuanzishwa kwa Redio ya Qur'ani Tukufu huko Algeria.
Habari ID: 3479109    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/12

IQNA - Shule za kijadi za Qur'ani Tukufu nchini Morocco ambazo zilianzia mamia ya miaka iliyopita zimedumisha jukumu lao muhimu kama vituo vya elimu ya kidini.
Habari ID: 3479071    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/05

IQNA - Qur'ani Tukufu ni nyenzo "yenye nguvu" na "ishara tukufu" ambayo inaweza kuwasaidia wasomi kuunda au kurejea nadharia za kisayansi, mwanachuoni anasema.
Habari ID: 3479070    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/05

Mashindano ya 38 ya Kitaifa ya Qur’ani Tukufu nchini Iran yamemalizika Jumamosi usiku katika hafla iliyofanyika mjini Kermanshah mashariki mwa nchi.
Habari ID: 3469906    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/27

Mji mkuu wa Mauritania, Nouakchott ni mwenyeji wa kongamano la kimataifa kuhusu namna mafundisho ya Qur'ani yanavyoweza kuwasaidia Waislamu.
Habari ID: 3468305    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/22

Wairani zaidi ya milioni 1.2 wanashiriki katika Mpango wa Kitaifa ya Kuhifadhi Qur'ani tukufu chini ya usimamizi wa Shirika la Awqaf la Iran.
Habari ID: 3468284    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/22

Awamu ya 38 ya Mashindano ya Kitaifa ya Qur’ani katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yameanza Jumamosi hii katika mji wa Kermanshah magharibi mwa nchi.
Habari ID: 3466837    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/19

Kumefanyika maandamano kusini mashariki mwa Mauritania kulaani hatua ya serikali ya nchi hiyo kufunga vyuo na madrassa au chekechea za Qur’ani.
Habari ID: 3465832    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/19

Duru ya 10 ya Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani Bosnia na Herzegovina yamefanyika katika mji mkuu wa nchi hiyo, Sarajevo.
Habari ID: 3458214    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/29