iqna

IQNA

Msomi wa Misri mwenye makao yake Qatar Sheikh Yusuf Qardhawi ametangaza kupinga tangazo la matakfiri wa Daesh la kuanzisha kile wanachokiita eti ni 'Khilafa' au utawala wa Kiislamu katika maeneo waliyoyateka Iraq.
Habari ID: 1426193    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/07/06

Waziri wa Mambo ya Nje wa Tunisia, amekadhibisha taarifa iliyosambazwa na vyombo vya habari kuhusiana na kuhamishiwa nchini humo ofisi ya Sheikh Yusuf Qardhawi, Mkuu wa Muungano wa Kimatiafa wa Maulama Waislamu.
Habari ID: 1394424    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/04/13