Tuko katika tarehe ya 28 Mfunguo Tano Safar ambayo inasadifiana na siku ya kukumbuka alipofariki dunia Bwana Mtume Muhammad SAW. Siku kama hii mwaka wa 11 Hijria, Mtume wa Mwisho wa Mwenyezi Mungu, Muhammad al Mustafa, SAW alitangulia mbele ya Haki akiwa ametekeleza vilivyo jukumu alilopewa na Mola wake Mlezi.
Habari ID: 3461857 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/09
Kamati ya haki za binadamu ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa imeitaka serikali ya Myanmar iheshimu haki za jamii ya Waislamu wa Rohingya walio wachache katika nchi hiyo.
Habari ID: 3454884 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/21
Taasisi moja ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa imetaka mwanazuoni mashuhuri wa Bahrain aachiliwe huru kwani anashikiliwa kinyuma cha sheria na utawala wa Aal Khalifa.
Habari ID: 3444271 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/07
Umoja wa Mataifa umetakiwa kuingilia kati na kuuzuia utawala wa Saudi Arabia kutekeleza hukumu ya kifo dhidi ya Sheikh Nimr Baqir al-Nimr, mwanazuoni maarufu wa Kiislamu nchini humo.
Habari ID: 3395089 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/27
Kiongozi wa Ansarullah
Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah nchini Yemen amesema watawala madhalimu wanapanga njama za kudhoofisha umma wa Kiislamu kwa kuuweka mbali na thamani za misingi ya haki.
Habari ID: 3393529 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/25
Tarehe 13 Rajab inasadifiana na siku ya kuzaliwa Amirul Muuminiin Ali bin Abi Talib AS mmoja kati ya Watu wa Nyumba tukufu ya Mtume Muhammad SAW.
Habari ID: 1406468 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/05/13