iqna

IQNA

Katika hali ambayo utawala wa kifalme wa Bahrain hadi sasa umeshavunja misikiti 38 nchini humo kwa visingizio tofauti, Mfalme wa Bahrain amemzawadia Papa Francis wa Kanisa Katoliki, ramani ya kanisa kubwa linalotarajiwa kujengwa nchini humo.
Habari ID: 1426057    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/07/05