Waislamu 25 wa madhehebu ya Shia wameuawa shahidi na wengine kadhaa kujeruhiwa katika mji mkuu wa Yemen, Sana'a baada ya bomu kulipuka ndani ya msikiti wakati wa Swala ya Idul-Adh’ha mapema leo asubuhi.
Habari ID: 3367085 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/24
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran pamoja na Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu wametuma salamu za Idi kwa viongozi pamoja na wananchi wa mataifa ya Kiislamu kwa mnasaba wa kuwadia Idul-Adh’ha.
Habari ID: 3366926 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/24
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, umoja na mshikamano ni tiba ya matatizo ya ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3329122 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/18
Kamati ya kuutafuta mwezi mwandamo katika Ofisi ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu imetangaza kuwa, Siku kuu ya Idul Fitr itaadhimishwa kesho Jumamosi nchini Iran na kwa msingi huo Ijumaa ya leo ni siku ya mwisho ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani nchini.
Habari ID: 3328911 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/17
Imam Khamenei
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, 'ulimwengu wa Kiislamu kwa kuweka kando hilitalfu zilizopo, utumie uwezo wake wote kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza.'
Habari ID: 1434650 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/07/29
Baadhi ya Waislamu katika nchi za Iraq, Uturuki, Qatar, Misri, Saudi Arabia na Bahrain leo wanasherehekea sikukuu ya Idul Fitr baada ya kutangazwa rasmi mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani katika nchi hizo.
Habari ID: 1434339 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/07/28